Ajutia kumfunga mwalimu gerezani, aomba ushauri

Ajutia kumfunga mwalimu gerezani, aomba ushauri

Huenda hujaelewa, msichana alitumia njia hyo kumuaminisha ticha. Nachojiuliza maswali form 2 unapata wapi hamu ya kifanya mapenzi jamani? Unapata wap akili ya kumu-aproach men, hizo akili zinakujaha ukubwani km kuna kitu unataka🤣🤣!shenji!
zamani wanafunzi walikuwa wana maumbo makubwa sana.
 
Ila yawezekana na mwalimu alishindwa kuvumilia si unajua tena kabinti kachanga..hahaha ila anaomba kujua kama hukumu ya ubakaji inaweza ikatenguliwa.
Kuna mdau anasema huyo Tatu ni cutelove mwenyewe. Sijajua ni kwa kiasi gani madai haya yana ukweli
 
kabla ya uvumilivu na mambo mengine, AKILI hapo inaonekana kama ndio tatizo lwa awali kabisaa.Ambapo kama ingetumika akili ya kwaida kabisa ya kunywea manji, wasingefika huko.

kuhusu hukumu kutenguliwa sidhani labda waje wajuzi wa mambo ya kisheria watoe neno.
Mkuu, kuna wakati ashki huzizidi ujanja akili na imani. Hebu jiulize, kwanini Maprofesa huomba rushwa za ngono vyuo vikuu ikiwa Physics na elimu zinginezo ndo kila kitu katika kusolve changamoto? Inakuwaje kiongozi mkubwa wa kidini aliye mfano wa kwanza wa imani anazini au anabaka ikiwa imani ndo kila kitu?

Nikwambie, majaribu yasikie tu! Ni wachache hutoboa mbele ya jaribu la ngono. Si watawala, wasomi, matajiri, washika dini, na backbenches wengineo.
 
Kwani physics ndio akili?
hapana sio akil.
Ila hilo ni somo ambalo huwa tunaamin wengi wao wanaoyachukua hayo basi angalau kichwani wanajiweza in terms of memory and/or thinking.
 
Ni kweli ..ila hukuona njia nyengine ya kudhibiti hilo?
Mbona atakuwa..kitoweo sasa mpaka ukubwani?
Hiyo mtoto mtihani unao..kumruhusu afanye zinaa?
Ameumbwa hivyo, ungekuwa wewe ungemwacha atembee na watu hovyohovyo?, au ungefanya Kama nilivyofanya mimi
 
zamani wanafunzi walikuwa wana maumbo makubwa sana.

Sio maumbo makubwa bali walianza shule wakiwa wakubwa, na sio zamani kwa kanda hiyo hadi sasa tu.... nimeshuhudia mabinti wawili wakifukuzwa shule kisa mimba darasa la Tano mwaka 1998 na kwa sekondari kwanza huko wanatambulika kuwa ni watu wazima.
 
Ameumbwa hivyo, ungekuwa wewe ungemwacha atembee na watu hovyohovyo?, au ungefanya Kama nilivyofanya mimi
mkuu kwa kifupi viatu vyako sio rahis mtu kuvivaa hivyo sio kila mtu atakuelewa,na hupaswi kulaumiwa japo kushangaa hilo haikwepeki
hata mm najaribu kukuelewa ila bado.All in all , wazaz siku zote huwa wanawatakia yaliyo mema watoto wao and i hope u r one of them.
malezi yana changamoto sana.

mwaka 2010 nikiwa nafanya kazi na NGO moja wilaya ya Ludewa kijiji cha mlangali, nilishakutana na mama mmoja nurse na yy alikua na scenario kama hiyoya kwako japo zina utofauti kidogo (yamkini ni kwasabu hakutaka kunambia mengine).
lakin na yy binti yake alikua na kesi kama hizo hivyo alipoingia sekondari ikamlazimu kumuweka "vijiti", contraceptive methods ili kumkinga na baadhi ya majanga akijua kabisaa binti yake kwenye hayo mambo hawez kumsaidia kwa namna nyingine yoyote ile.

sijui waliishiaga vp.
 
Back
Top Bottom