Ni mwanamke sasa, miaka 12 iliyopita akiwa kidato cha pili katika shule moja halmashauri ya Buchosa wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza.
Anasema akiwa kidato cha pili, alijikuta anampenda Mwalimu wake aliyekuwa anamfundisha somo la Physics
Anasema mwalimu huyo ambaye alikuwa ni kijana kati ya miaka 26 na 29 akitokea mkoani Kilimanjaro wala hakuwa na tabia za kuwatongoza wanawake wala wanafunzi, muda mwingi alikuwa anashindia majarubani na shughuli zake binafsi
Anasema "Akiwa hapo shuleni alijikuta anampenda mwalimu huyo bila sababu na alitumia mbinu kadha wa kadha kujitongoza kwa mwalimu huyo lakini mwalimu huyo hakuingia katika mtego pia alimtuma rafiki yake wake wa kike amwambie mwalimu anavyompenda"
Mwalimu huyo aliniita pembeni na kunikataza kuwa yeye hawezi kuwa na mahusiano na mwanafunzi akamsisitiza asome kwanza.
Licha ya kuniambia hivyo sikukata tamaa na kilichosababisha nisimuache kumfuatilia ni pale alipokuwa kila akija kufundisha darasani anamuita Rose, kila swali Rose jibu, kila kitu lazima atuambie Rose, nikawa nawaza huenda mwalimu ana mahusiano na Rose ndo maana ananikataa mimi, nikawa naumia sana
Siku moja niliaga nyumbani naenda part kwa mama mdogo, nilifika kwenye part ila wazo langu ni kwenda kulala kwa mwalimu usiku huo
Nilifika kwenye part lakini baada ya muda mchache,nilimuaga kaka yangu kuwa narudi nyumbani kulala
Niliondoka mpaka kwa mwalimu huyo ambaye alikuwa amepanga mtaani,nilifika kwa mwalimu nilibisha hodi, kwa muda mrefu huku nagonga mlango, ambapo mwalimu ilibidi amke afungue dirisha, kuangalia, akasema njoo huku dirishani, nikaenda dirishani, nikamwambia mwalimu, nifungulie kuna wachawi wananifukuza", Aliniuliza natoka wapi usiku huu?
Nilimwambia nifungulie nitakwambia, ndipo mwalimu alipofungua mlango nikaingia ndani, akanikaribisha ndani nikaingia nikakaa, akawa ananiuliza usiku ule natoka wapi? Nikamwambia natoka kusoma kwao Sarah ila wakati naenda nyumbani nimekutana na wachawi wamenifukuza "mwalimu akauniuliza kwa nini hukurudi kwao Sarah? Nikamwambia" walikuwa wanatokea kwao Sarah
Mwalimu akanambia, basi ngoja nikuache ulale humu ndani ili kesho uende nyumbani, mimi ngoja nikalale kwa mwalimu Peter" Nilikataaa nikamwambia siwezi kulala mwenyewe watanifuata wachawi." Akanambia ngoja nikupeleke nyumbani basi," Nikakataa kata kata "Wazazi wanaweza kukufikiria vibaya,na sasa hivi usiku sana kwetu ni mbali sana, acha tu mwalimu nilale
Mwalimu aliingia chumbani, akaniletea shuka nilale kwenye sofa, nikakubali, yeye akaenda kulala chumbani kwake, nililala kama dakika 20 hivi nikawaza nifanyeje nilale na mwalimu, nikaamka nikaenda chumbani kwa mwalimu na kumwambia" Kuna watu wananishika miguu,naogopa kulala mwenyewe, acha tu nilale na wewe mwalimu, naogopa sana"
Mwalimu alishindwa kunikatalia, tulilala kila mtu shuka lake, lakini nilipogundua mwalimu ameanza kusinzia niliweka shuka langu pembeni, nikavuta la kwake, nikamsogelea na kumkumbatia, mwalimu alishtuka akaniuliza Tatu kulikoni? Nikamwambia mwalimu nimeshindwa kuvumilia, utanikubalia tu na hali, nikavua nguo.......mwalimu akashindwa kunikatalia, ikabidi tu tufanye.
Licha ya mwalimu kuniambia iwe mwanzo na mwisho kufanya mambo hayo, kuwa amejutia kufanya kosa kubwa sana kufanya mapenzi na mwanafunzi wake" maneno hayo aliniambia kipindi anisindikiza alfajiri naenda nyumbani.
Baada ya miezi 5 nilifukuzwa shule kwa ujauzito, wazazi walinibana niwambie ujauzito nimeupata wapi,ilibidi niwambie ni mwalimu.
Kesi ikafunguliwa mahakamani, mwalimu akashtakiwa kwa ubakaji na mimba, akafungwa miaka 30 jela.
Nilitaka nimkane mwalimu ila wazazi na wanasiasa wakaingilia kati wakanitishia ikabidi nikubali
Tatu Limbe sasa yupo mtaani jijini Mwanza anatafuta vibarua ili mwanae ale na asome huku baba wa mtoto akiwa gerezani.
Anasema anajutia,mwalimu hakuwa na kosa, yeye ndiyo alikuwa na makosa.
Anataka kukata rufaa ili hukumu itenguliwe, je itawezekana?
Umenikumbusha binti yangu ana nyege zilizopita viwango vyote vya kimataifa, mpaka nimemruhusu awe na mtu mmoja tu kwa sharti la kumwekea kitanzi ili asipate mimba na kila mwezi kupima ujauzito



Hilo ni tatizo la hormonal imbalance linatokea kwa watoto wetu wakifikia umri wa kubalehe au kuvunja ungo au watu wazima wanapofikia miaka 50 au zaidi, tatizo hili linaweza kutokea mapema zaidi, kwa maelezo zaidi guugoMke amengiaje hapo, kwamba naye ukute ana genye zimezidi kiwango ama.... kwamba unamtafutia msaidizi unayemwamini..?
Samahani kwa lugha mbovu, chukua ujumbe tu na ufafanue kidogo.... kuhusu mke ni kwa mfano tu kama ulivyotangulia kusema.
Upo mkuu guugoPole mkuu binti yako ana pepo la ngono,hakuna ugonjwa unaoitwa NYEGE
Anasema "Akiwa hapo shuleni alijikuta anampenda mwalimu huyo bila sababu na alitumia mbinu kadha wa kadha kujitongoza kwa mwalimu huyo lakini mwalimu huyo hakuingia katika mtego pia alimtuma rafiki yake wake wa kike amwambie mwalimu anavyompenda"
Mwalimu huyo aliniita pembeni na kunikataza kuwa yeye hawezi kuwa na mahusiano na mwanafunzi akamsisitiza asome kwanza.
Licha ya kuniambia hivyo sikukata tamaa na kilichosababisha nisimuache kumfuatilia ni pale alipokuwa kila akija kufundisha darasani anamuita Rose, kila swali Rose jibu, kila kitu lazima atuambie Rose, nikawa nawaza huenda mwalimu ana mahusiano na Rose ndo maana ananikataa mimi, nikawa naumia sana
Mkuu hata ungekuwa wewe ungefanya hivyohivyo, ungemwacha binti yako atembee na mtaa nzima Tena wahuni, apate ukimwi na watoto, heshima ya binti yako ingeshuka, bora mtu mmoja na Sasa amemaliza chuo kikuuDuuuh...! Wewe baba weweeeee una moyo wa ubaba wa chuma mkuu
Huko vijijini form 2 anakuwa mkubwa mkubwa. Isitoshe form 2,wengi wameshavunja ungo. Halafu ndio inakuwa kipindi cha joto. Ndio maana siku hiyo alipata na mimba
Umefundisha jambo mkuu. Japo inahitaji moyoMkuu hata ungekuwa wewe ungefanya hivyohivyo, ungemwacha binti yako atembee na mtaa nzima Tena wahuni, apate ukimwi na watoto, heshima ya binti yako ingeshuka, bora mtu mmoja na Sasa amemaliza chuo kikuu
Manengelo, mwalimu kumlala mwanafunzi wake anayejipeleka peleka kwake ni ngumu sana kwa sababu lazima mwalimu ahisi ni mtego kawekewa na wananzengo.
.
Nakumbuka mimi mwaka 2013 tu hapo Geita bwalo la Polisi kulikuwa na kabinti flani matata sana yani kazuri kila idara kuna dogo mtoto wa kotazi tu alikuwa anakamega sasa kumbe kale kabinti kana milolongo ya wanaume ajabu na wengi ni watu wazima.
.
Dingi yake akaweka mtego me nikashuka zangu bwalo kulikuwa na konkodi moja hivi la kike na kale kabinti si nikakaita mwamba kakaja wakati huo hakajui lolote kuhusu mtego wa baba yake, ikapigwa ngoma ya Dulayo "twende na mimi" kabinti kiukweli kamejaaliwa guu na kalio wasukuma unatujua kakaanza kukata uno nikakashikilia dk 5 nyingi mzee wake akafika akiwa na silaha pamoja na askari wengine watatu.
.
Kesi ikahamia kwangu kilichotokea hapo ni siri yangu na nilikuwa naingia kazini saa 4 usiku.
Kwa hiyo ni ngumu sana mwalimu kumlala binti anayejitongozesha tongozesha mambo yameharibika
Kabisa!!Nadani ni stori tu hii maana mwalimu wa Physics kuzidiwa akili kijinga namna hiyo ni kitu kigumu sana.
Inawezekana kama utakuja na concrete evidence vya ki- Science kama vile DNA ya mtoto na Baba ni tofauti kama usiku na mchana.Ila yawezekana na mwalimu alishindwa kuvumilia si unajua tena kabinti kachanga..hahaha ila anaomba kujua kama hukumu ya ubakaji inaweza ikatenguliwa.
Wakandamizaji wa haki za wanawake na waumini wa mila potofu wamekuja na mbinu mpya....









Kka wanawake tuna ngv sana ya ushawishi!sema hii nguvu tungeielekeza kwenye mambo ya maana tungekuwa mbali zaidi!
AiseeUmenikumbusha binti yangu ana nyege zilizopita viwango vyote vya kimataifa, mpaka nimemruhusu awe na mtu mmoja tu kwa sharti la kumwekea kitanzi ili asipate mimba na kila mwezi kupima ujauzito
Nimeishi nimefundisha na nimeyaona hayo sana narudia tena kanda ya ziwa ni kawaida kabisa nasema tena kawaida sana yani hii story nimeisoma japo sijui msimuliaji ila ni haijapinda hata kidogo kulingana na uzoefu wangu wa miaka nenda rudi kanda ya ziwa pole ya mwlm wanasheria watasema namna ya kufanyaNadani ni stori tu hii maana mwalimu wa Physics kuzidiwa akili kijinga namna hiyo ni kitu kigumu sana.
Mkuu ni akili gani ilipaswa kutumika hapo?kabla ya uvumilivu na mambo mengine, AKILI hapo inaonekana kama ndio tatizo lwa awali kabisaa.Ambapo kama ingetumika akili ya kwaida kabisa ya kunywea manji, wasingefika huko.
kuhusu hukumu kutenguliwa sidhani labda waje wajuzi wa mambo ya kisheria watoe neno.