Ajutia kumfunga mwalimu gerezani, aomba ushauri

Ajutia kumfunga mwalimu gerezani, aomba ushauri

Alichokifanya huyo Baba Ndicho na mimi nilifanya kwa binti yangu wa kazi, maana muda ambao Sipo alikuwa analeta sana wanaume nyumbani kulala nao, roho iliniuma sana maana nilimkanya hakusikia kwao nikapiga simu wakamuonya lakini wapi? Ikabidi nimpe ruhusa kwa mwezi mara mbili ya out, kwa hiyo Akitaka kwenda kwa mwanaume wake ananiaga kabisa na ufunguo ananiletea ana ondoka, baada ya Masaa mawili anarudi na anaendelea na. Shughuli zake kama kawaida,
Alivyokuja kwangu hata wiki hajamaliza analeta wanaume analala nao nyuma ya nyumba, nilishangaa. Sana kwa kweli
Maji yalinifika shingoni ikabidi nimruhusu tu aende gesti na sio hapo nyumban


Joto lilikua linamsumbua🤔!hatari tupu
 
Uhusiano wa mwalimu na mwanafunzi ni kosa kubwa,wengi wenye watoto wa kike wanao soma wanapenda sana kusikia sentensi hiyo.Shule imebeba tabia zote,kuna wanafunzi wa kike wanajiheshimu sana,kuna wanafunzi ni makahaba hata wazazi wao wanajua hilo.Suala la walimu kuwa na mahusiano na wanafunzi lina ukakasi sana.Mimi nimekuwa na rafiki zangu walimu wakikueleza kuwa wanafunzi wa kike kuwatongoza walimu ni suala la kawaida,waulize walimu wa field wakueleze wanapomwagwa mashuleni visa wanavyokutana nao.

KOSA kubwa la mwalimu wa physics ni kumruhusu binti huyo kuingia ndani ya nyumba yake. Kuna usemi unasemi wanawake,upenda kwa kusikia,lakini wanaume upenda kwa kuona.Ni wanaume wangapi wastuke usingizini wakute wamekumbatiwa na binti wa kike mwenye tamaa, halafu asimshughulikie usiku huo huo?

Zamani kidogo wanafunzi walihisi ni sifa kuwa na mahusiano na walimu,lakini kwa sasa ni kama mamabo yamebadilika sana,wanaotembea na wanafunzi wa kike wengi si walimu tena,kwa mujibu wa utafiti wangu kada inayoongoza kuwa na mahusiano na wanafunzi ni Polisi,wakifuatiwa na waendesha bodaboda,na wenye viduka vidogo vidogo.
 
Nimeileta kwenu wadau kama ilivyo

Ni mwanamke sasa, miaka 12 iliyopita akiwa kidato cha pili katika shule moja halmashauri ya Buchosa wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza.

Anasema akiwa kidato cha pili, alijikuta anampenda Mwalimu wake aliyekuwa anamfundisha somo la Physics

Anasema mwalimu huyo ambaye alikuwa ni kijana kati ya miaka 26 na 29 akitokea mkoani Kilimanjaro wala hakuwa na tabia za kuwatongoza wanawake wala wanafunzi, muda mwingi alikuwa anashindia majarubani na shughuli zake binafsi

Anasema "Akiwa hapo shuleni alijikuta anampenda mwalimu huyo bila sababu na alitumia mbinu kadha wa kadha kujitongoza kwa mwalimu huyo lakini mwalimu huyo hakuingia katika mtego pia alimtuma rafiki yake wake wa kike amwambie mwalimu anavyompenda"

Mwalimu huyo aliniita pembeni na kunikataza kuwa yeye hawezi kuwa na mahusiano na mwanafunzi akamsisitiza asome kwanza.

Licha ya kuniambia hivyo sikukata tamaa na kilichosababisha nisimuache kumfuatilia ni pale alipokuwa kila akija kufundisha darasani anamuita Rose, kila swali Rose jibu, kila kitu lazima atuambie Rose, nikawa nawaza huenda mwalimu ana mahusiano na Rose ndo maana ananikataa mimi, nikawa naumia sana

Siku moja niliaga nyumbani naenda part kwa mama mdogo, nilifika kwenye part ila wazo langu ni kwenda kulala kwa mwalimu usiku huo

Nilifika kwenye part lakini baada ya muda mchache,nilimuaga kaka yangu kuwa narudi nyumbani kulala

Niliondoka mpaka kwa mwalimu huyo ambaye alikuwa amepanga mtaani,nilifika kwa mwalimu nilibisha hodi, kwa muda mrefu huku nagonga mlango, ambapo mwalimu ilibidi amke afungue dirisha, kuangalia, akasema njoo huku dirishani, nikaenda dirishani, nikamwambia mwalimu, nifungulie kuna wachawi wananifukuza", Aliniuliza natoka wapi usiku huu?

Nilimwambia nifungulie nitakwambia, ndipo mwalimu alipofungua mlango nikaingia ndani, akanikaribisha ndani nikaingia nikakaa, akawa ananiuliza usiku ule natoka wapi? Nikamwambia natoka kusoma kwao Sarah ila wakati naenda nyumbani nimekutana na wachawi wamenifukuza "mwalimu akauniuliza kwa nini hukurudi kwao Sarah? Nikamwambia" walikuwa wanatokea kwao Sarah

Mwalimu akanambia, basi ngoja nikuache ulale humu ndani ili kesho uende nyumbani, mimi ngoja nikalale kwa mwalimu Peter" Nilikataaa nikamwambia siwezi kulala mwenyewe watanifuata wachawi." Akanambia ngoja nikupeleke nyumbani basi," Nikakataa kata kata "Wazazi wanaweza kukufikiria vibaya,na sasa hivi usiku sana kwetu ni mbali sana, acha tu mwalimu nilale

Mwalimu aliingia chumbani, akaniletea shuka nilale kwenye sofa, nikakubali, yeye akaenda kulala chumbani kwake, nililala kama dakika 20 hivi nikawaza nifanyeje nilale na mwalimu, nikaamka nikaenda chumbani kwa mwalimu na kumwambia" Kuna watu wananishika miguu,naogopa kulala mwenyewe, acha tu nilale na wewe mwalimu, naogopa sana"

Mwalimu alishindwa kunikatalia, tulilala kila mtu shuka lake, lakini nilipogundua mwalimu ameanza kusinzia niliweka shuka langu pembeni, nikavuta la kwake, nikamsogelea na kumkumbatia, mwalimu alishtuka akaniuliza Tatu kulikoni? Nikamwambia mwalimu nimeshindwa kuvumilia, utanikubalia tu na hali, nikavua nguo.......mwalimu akashindwa kunikatalia, ikabidi tu tufanye.

Licha ya mwalimu kuniambia iwe mwanzo na mwisho kufanya mambo hayo, kuwa amejutia kufanya kosa kubwa sana kufanya mapenzi na mwanafunzi wake" maneno hayo aliniambia kipindi anisindikiza alfajiri naenda nyumbani.

Baada ya miezi 5 nilifukuzwa shule kwa ujauzito, wazazi walinibana niwambie ujauzito nimeupata wapi,ilibidi niwambie ni mwalimu.

Kesi ikafunguliwa mahakamani, mwalimu akashtakiwa kwa ubakaji na mimba, akafungwa miaka 30 jela.

Nilitaka nimkane mwalimu ila wazazi na wanasiasa wakaingilia kati wakanitishia ikabidi nikubali

Tatu Limbe sasa yupo mtaani jijini Mwanza anatafuta vibarua ili mwanae ale na asome huku baba wa mtoto akiwa gerezani.

Anasema anajutia,mwalimu hakuwa na kosa, yeye ndiyo alikuwa na makosa.

Anataka kukata rufaa ili hukumu itenguliwe, je itawezekana?
 
Nyege zako zimemponza mwalimu kumalizia maisha yake gerezani,,ama kweli nyinyi wanafunzi wa form tu,siku zote nyie ndio mnao wabaka wanaume,kesi ikifika polisi na mahakamani mnawageuzia kibao hao mliowabaka na kuwa nyie ndio mliobakwa,,
 
Kwani wazazi wake na wanasiasa wanasemaje?

Haya mambo bhaana! Dah! Nimejikuta namhurumia sana teacher, Mangi.
Nyege ni mdudu mbaya sana na zinakufanya fala ila kwenda jela kwa ajili ya mwanafunzi ni ufala zaidi.

Kuna watu kama wake za watu na wanafunzi hupatikana kwa urahisi sana ila ni very dangerous to our life a.k.a SWEETEST POISON.
 
Kote huko nimeishi ila story inaonesha huyu mwlm ni wa kijijini flani
 
Hiyo ndiyo faida ya wakurupukaji na wanaharakati katika kutunga sheria pasipo kufikiria mara mbilimbili.
Huwa najiuliza mfano mtoto keshakuwa mkubwa anamuuliza mama yake hivi baba yuko wapi,mama anamwambia yuko jela mtoto anauliza kwa kosa gani,mama alinipa mimba nikiwa shule,mtoto atauliza Ina maana baba kumpa mimba mama nizaliwe Mimi ni kosa hadi kufungwa jela,mtoto ataichukia jamii na mama yake pia.Ipo haja wanaharakati na watunga sera waliangalie ili huku
 
Kwani wazazi wake na wanasiasa wanasemaje?

Haya mambo bhaana! Dah! Nimejikuta namhurumia sana teacher, Mangi.
Nyege ni mdudu mbaya sana na zinakufanya fala ila kwenda jela kwa ajili ya mwanafunzi ni ufala zaidi.

Kuna watu kama wake za watu na wanafunzi hupatikana kwa urahisi sana ila ni very dangerous to our life a.k.a SWEETEST POISON.
Sio kosa lake jela na hospital havina mwenyewe ni pa wote mtakuja tu uwe mjanja uwe mshamba
 
Huenda hujaelewa, msichana alitumia njia hyo kumuaminisha ticha. Nachojiuliza maswali form 2 unapata wapi hamu ya kifanya mapenzi jamani? Unapata wap akili ya kumu-aproach men, hizo akili zinakujaha ukubwani km kuna kitu unataka🤣🤣!shenji!
Akili zinapatikana kwenye TV na bongo fleva kule wanafundishwa hayo tangu wangali wadogo,fomu 2 sio mtoto siku hizi
 
Jamani Mm nilishawai kuwa mwalimu, aisee ! Walimu wanapitia shida mno kiukweli huwezi ona kama haupo kwny tasnia, nilishawai kufundisha kama miaka mitatu Hiv kama part time teacher,
Majaribu niliyokutana nayo asikwambie mtu serikali ipo upande wa wanafunzi ila tatizo linakuja pale ambapo mwanafunz anamalez mabaya kutoka kwao amezoea iyo michezo,
Huwa wanakutega hata nusu darasa yani acha tu. Tuwaombee walimu
Majority ya walimu wanaotegwa huwa wameweka Mazingira ya kutegwa.Lakini pia Kuna kesi chache hata usipoweka Mazingira ya kutegwa mwanafunzi anaweza kujileta mwenyewe
 
Huenda hujaelewa, msichana alitumia njia hyo kumuaminisha ticha. Nachojiuliza maswali form 2 unapata wapi hamu ya kifanya mapenzi jamani? Unapata wap akili ya kumu-aproach men, hizo akili zinakujaha ukubwani km kuna kitu unataka🤣🤣!shenji!
tena ukizingatia ilikua ni miaka ya zamani sana, 12 years ago. Ingekua miaka ya karibuni kdg nisingeshangaa coz cku hizi hadi vitoto vya kike vinavyosoma primary utasikia vinakwambia "naomba nishike six packs zako"
 
Umenikumbusha binti yangu ana nyege zilizopita viwango vyote vya kimataifa, mpaka nimemruhusu awe na mtu mmoja tu kwa sharti la kumwekea kitanzi ili asipate mimba na kila mwezi kupima ujauzito
Daaah

Ila naunga mkono hoja, hivi vibinti vya siku hizi bora kuviruhusu tu coz ukivibania utakuja kupata mshtuko mwishowe ufe kwa presha
 
Back
Top Bottom