Ajuaye atoe msaada wa jaribio hili la jkt/tcu

Ajuaye atoe msaada wa jaribio hili la jkt/tcu

Kaka Kapagi

Member
Joined
Sep 27, 2012
Posts
22
Reaction score
6
1.Umeona majina ya awamu ya tatu JKT?
2. TCU wanasemaje maana vyuo vinafungua na JKT ni tar 28 sept.
3. Je kambi ni muda gani?
4. Sasa itakuwaje vijana watii sheria ya nchi kwenda JKT au kwenda vyuoni?
5. kwanini vyombo husika TCU na JKT havitoi ufafanuzi au ndo ujsehi umeshaanza?
Tafadhali naomba msaada degree yangu bure nimeshindwa kumsaidia dogo maswala hayo ili kumuondolea njiapanda... sina hakika kama ni ya kisiasa, kijeshi au kisomi
 
Back
Top Bottom