Ajizi ya Kitochi cha Mkwere, Mchagga aingizwa mjini kichwakichwa!

rev. Kishoka,
mkuu binafsi sikubaliani na hoja nzima kwani kuna tofauti kubwa sana kati ya kuhonga na kukarimu..ikiwa tunashindwa kutofautisha vitu hivi basi kweli hakuna haja wala sababu ya kupiga vita rushwa kwani hatuelewi wala hatuna maana.
Hivi kweli ukikamatwa na askari ukampa kitu kidogo akale ni ukarimu au hongo!. Na ukimpa rafiki au mgeni wako kidogo hicho hicho akale ni ukarimu au hongo..hili neno in good faith linasimama wapi jamani?
Kama hatuna majibu ya mifano midogo kama hii sioni sababu kabisa ya kujadili tena takrima kwa malengo ya kuondoa/kuboresha tamaduni za makabila..

huyu bwana simwelewi.ukarimu anatoa mwenyeji,rushwa anatoa mgeni.full stop
 
Back
Top Bottom