Ni kweli kabisa Perry yupo sahihi walimu wa sayansi na wale wa elimu maalum wataajiriwa kwanza wengine mtasubiri bajeti ikiruhusu.....
Mwaka huu tunaajiri walimu wa masomo ya sayansi tu..nyie walimu wengne mliosoma masomo ya kuimba taarabu na ngonjera,hatuwahitaji...over
Mwaka huu tunaajiri walimu wa masomo ya sayansi tu..nyie walimu wengne mliosoma masomo ya kuimba taarabu na ngonjera,hatuwahitaji...over
Ninny bitch from UDSM at work!Mwaka huu tunaajiri walimu wa masomo ya sayansi tu..nyie walimu wengne mliosoma masomo ya kuimba taarabu na ngonjera,hatuwahitaji...over
acha kutishia watu Perry, afterall ajira ya ualimu hailipi kivileee! Naamini atakaefungua genge la nyanya ataishi maisha mazuri kuliko huyo mwalimu wa sayansi! So usiwatishe madogo bwana!!
Usipoteze muda wk kwa mtu asiye jielewa..hajui alitendalo,,muache aongee uozo wake.