ajira za walimu soma hapa!!!!

LOOOK

JF-Expert Member
May 17, 2011
3,391
1,225
Kuna taarifa kuwa ajira zitatolewa mwezi wa kwanza mwanzoni kabisa ,,haya kazi kwenu waliiiimu mjiandae kwenda sangamwalugesha na mwamashimba,,,
 
Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
9,992
2,000
Mwaka huu tunaajiri walimu wa masomo ya sayansi tu..nyie walimu wengne mliosoma masomo ya kuimba taarabu na ngonjera,hatuwahitaji...over
 
Mshawa

JF-Expert Member
Sep 6, 2011
758
500
Ni kweli kabisa Perry yupo sahihi walimu wa sayansi na wale wa elimu maalum wataajiriwa kwanza wengine mtasubiri bajeti ikiruhusu.....
 
Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
9,992
2,000
Ni kweli kabisa Perry yupo sahihi walimu wa sayansi na wale wa elimu maalum wataajiriwa kwanza wengine mtasubiri bajeti ikiruhusu.....

mkuu,huu ni ukweli ambao watanzania wengi huwa hawapendi kuambiwa.
 
Gumilapua

JF-Expert Member
Sep 13, 2011
743
500
Mwaka huu tunaajiri walimu wa masomo ya sayansi tu..nyie walimu wengne mliosoma masomo ya kuimba taarabu na ngonjera,hatuwahitaji...over

acha kutishia watu Perry, afterall ajira ya ualimu hailipi kivileee! Naamini atakaefungua genge la nyanya ataishi maisha mazuri kuliko huyo mwalimu wa sayansi! So usiwatishe madogo bwana!!
 
LOOOK

JF-Expert Member
May 17, 2011
3,391
1,225
Mwaka huu tunaajiri walimu wa masomo ya sayansi tu..nyie walimu wengne mliosoma masomo ya kuimba taarabu na ngonjera,hatuwahitaji...over

Mtu asiye elimika ki ufahamu kama wewe huna haja ya kupoteza mda kumjadili sababu unasahau kwamba mataifa mengi dinian yanaongozwa na hao hao unao waita waimba taarabu na hata wewe fika yako hapo 85% imechangiwa na hao,haya wewe kama mwanasayansi umefanya kipi kuuonesha umma uanasayansi wako huo wa kukalili wakati hata kubadilisha bulbu tu unamwita fundi tena amabaye hata hajasoma hiyo sayansi yenu ya kukalili,?usiwe mjinga wewe huo ni mgawanyo wa majukumu ndio mana kuna nesi,mwanasheria,mwalimu wa sayansi,mwl wa art,mkemia,mjiografia ,mkulima nk. Na wote hao wanategemeana anapo kosekana mmoja huyu mwingine hawezi kufanikisha lengo,, usiwe kama mtu ambaue hana elimu hata kidogo kwa ufinyu wako wa kiuyaelewa mambo na kuyapembua kwa makini,,
 
LOOOK

JF-Expert Member
May 17, 2011
3,391
1,225
acha kutishia watu Perry, afterall ajira ya ualimu hailipi kivileee! Naamini atakaefungua genge la nyanya ataishi maisha mazuri kuliko huyo mwalimu wa sayansi! So usiwatishe madogo bwana!!

Unaweza kujiona una umeandika point kumbe wewe ndio mjinga zaidi ya una mrekebisha, hivi unafikiri hata hao mawazir na maofisa elimu wametokea wapi,na walimu umeona wanamaisha magumu kama hao wauza nyanya ulio watolea mfano?acha dharau kwenye kazi zinazo waingizia wenzio kipato? Na kwa taarifa yako walimu huwa wankuwa na maisha ambayo hata baadhi ya watimishi wa imma wenye mishaahara zaidi yao hawana ,mwalimu ni mtu anaye jua sana budget ya maisha ndio mana wengi wanajenga na wana magari ya kutembelea lakini watumish wenye mishahara mikubwa huwa wanakuwa na maisha ya juu sana kwa sababu ya kiburi cha kazi na mshahara wake ndio mana wengi wao hadi wanastaafu unakuta hawana nyumba.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom