Ajira za ualimu kwa watu wasio na shahada ya ualimu

Wadau,
taarifa toka kwa mdau wa wizara ya elimu zinaeleza kuwa anytime kama walimu wataendelea kugoma, huenda serikali sikivu ikatangaza ajira za ualimu kwa watu wenye shahada zisizo za ualimu. kama taarifa hii ni ya kweli basi wadau wasio na ajira waandae vyeti.

umefunga sheikh wangu,ulongo haufai!!
 
Hahaaa, hv kuna mtu ataacha fani yake na kwenda kufundisha kwa mshahara wa laki4? Watakaoomba hzo ajira ni watu w kupita wanatumia kama daraja! Njooni mashambani vijana mali zipo huku.
 
mimi nina shahada sio ya ualimu lakini sijapata kazi lakini siwezi kwenda kuwa mwalimu hata siku moja.bora nikae tu nizeekee nyumbani.
 
Madaktari wa Iran wako wapi???Wajawazito mbeya hali ni mbaya sana wakati wa kujifungua kutokana na uhaba mkubwa wa madaktari baada ya Interns kufukuzwa na registrar baadhi kuacha kazi.
 
Waache bange hao sirikali hisio sikuvu,mie nalipwa 1 point kadhaa hapa lakin nakaa mguu nje mguu ndani natafuta pa 1.8 ndio niende huko kwa jiwe 2? Khaaaaaaaa hawampati mtu labda waseme 1.5m contract ya miaka 3 ndio ntakuja.
 
washindwe kuwalipa professional je wewe itakuwaje si watakutukuna ukionekana unadai maana huna taaluma ya walimu, kama bure poa nenda kafanye
 
Huoni hata haya kusema wadau waandae vyeti? Unachekelea? Mimi si mwalimu lakini wanachokifanya ni kwa maslai ya sekta hiyo.

Hata hao unaowashauri waandae vyeti............... watayakuta haya haya. Cha msingi ni serikali ikubali kumaliza mgogoro na walimu.

Je, wote wakidai pensheni zao, si itakuwa zaidi ya madaktari? Kwani baada ya kuona wengi wanaacha kazi, eti mafao yachukuliwe at age of 55 or 60! watarekebisha sasa waseme at 99yrs!
 
nani akachafuke chaki na kupiga kelele kutwa nzima halafu mshahara kidogo.......,fupa lililomshinda fisi mi sitaliweza,.......Bora niendelee na biashara yangu ya vitumbua inanilipa zaidi ya ualimu

sema tu huna cheti ungekuwa na degree hata ya ualimu usingeweza kuifananisha na kuuza chapati
 
Back
Top Bottom