Ajira za Ualimu 2015/2016 zinatoka lini?

Ajira za Ualimu 2015/2016 zinatoka lini?

Status
Not open for further replies.
Nyie ongeeeniii, ajira zikitoka wenzenu tunaendaa....Mnaodhani maisha mazuri ni kuishi Dar na kuzunguka na bahasha za kaki shauri zenuuu....
 
wadau ajira zinatoka kesho jumatatu ya tarehe 02/03 na itakuwa ni saa 4 asubuhi mambo yatakuwa hadharani.
source 🙁tamisem) hajapenda kutajwa jna.
 
mkuu cjaulizia habar ya kuriport nimeulizia tu majina yanatoka ln,hvyo kwa habr ya kuriport tusubir hyo kesho,
 
Inamaana kama ni kesho itabidi tupewe 2 weeks za kujiaandaaaa
 
Kitu ambacho hakiwezekani kuingizwa kwenye pay rol ya mwezi march unless iwe kuripot ni april mosi
 
CHICHIMIZI
jana niliota nimepangiwa halimashauri ya HAI.

Mh yaani kwa bibi pale napaona alafu kazini hapaaa.
 
kuna mhusika kaniambia mwezi ujao kuripoti...so katikati ya mwez huu watatoa majina.....100%
 
Haaa chichimizi vumilia tu ajira yako inakuja jiandae kwenda bush
 
Last edited by a moderator:
Mimi nishaanza kufungasha nguo zangu kwenye mabegi tayari kwa kuripoti ktk halimashauri ya HAI mkoani kilimanjaro
 
ally nenda serikalini mana private azina uhakika sana xo kaza jitahidi usibaki priva
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom