Ajira za Ualimu 2015/2016 zinatoka lini?

Ajira za Ualimu 2015/2016 zinatoka lini?

Status
Not open for further replies.
Hohohohooo Taarifa niliyonayo mpaka sasa hivi walimu wanaofundisha kiswahili,kingereza na hesabu wameanza kupatiwa semina ktk halimashauri mbalimbali Mfano mimi mwenyewe ni mwalimu wa GK tayari mkuu wetu ameshatupa taaarifa ya semina ingawa ni private , hii ni kutokana na sera mpya ya elimu kukipa kiswahili nguvu ya kufundishia ktk ordinary level.

Watembeaaa kwa miguuu mpaka viatu vinaktk soli mlieee tu mwaka huuu heheeee.

Na kwa tetesi nasikiaaaa mkuu wangu anaongeleaa kuhusu kurudishwa kwa teaching alawans


Mtajutraaaaaaaaaaaaaa walimu tunaosubiri ajira mpya oyoooooooooioio
 
Aliyaongeaa hayo baada ya kumaliza kikao chao na Naibu waziri juzi
 
Ajira za walimu soon zitakua zimetoka pia wale walimu wa sanaa msiwe na shaka.
 
Msikaee sana mbali na tv au radio na simu zenu zisikose bundle
 
Mkuu tuwe wavumilivu kwani leo ni tarehe 1/03/2015 ikifika tarehe 15 zitakua tayari
 
Mambo ya kitaifa ambayo ni programmed hayawezi kuzuiliwa na msiba WA mbunge.Kama wamepanga yatoke Leo yatatoka.Acha nianze kutafuta vyeti vyangu
 
Ha ha ha tatizo kitaa kimewachosha ila mkianza kazi mtaamini kama walimu hakuna kitu full stress kazi kukopa kwenye tasisi za kifedha na kuishia kununua bodaboda.
 
Karibuni sana kwenye nyumba inayozalisha wataalamu wa kila aina japo maslahi yetu ni kidogo tofauti na tuzalishavyo.
KARIBU { FUKAMA }
 
Aaaaa sina uhakika na kesho bt da truth labda mpaka tarehe 15
 
naitaji ushauri.nafundisha shule moja maarufu sana hapa nchini salary yao ni mia 7 take hme with full meals no accomodation ipo tegeta dar.ni ya turuki niko kama mwalimu wa biology and practical.je ajira zkitoka nifanyeje?contract wananiletea march
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom