chichimizi
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 1,074
- 339
Kila mtu anasema lake humu habari kamili wakubwa watatujuza kwa kutoaa post hizo
da kitaa pagumu watupeleke ata kama usafiri wa mtumbwi tutaenda tu ualimu wito aisee wadau tujipe moyo watatoa tu jamani
Hivi bila ualimu hakuna maisha mengine!?
Kama ni wito unalalamika nn mkuu.... Si ujitolee huko kwenu??? Kwa nn waalimu mnajishuahia hadhi hivyo???
Yani unataka kusemaje kwa mfanoo?
Mjiajiri
Hatutaki, ukijiajiri wewe inatosha....lingine?
We ushajitolea kwenu?
Jamani mimi eakinipeleka hata kamsamba nitakwenda sababu nimepigika sana kitaaa
Haaaa mtasibiri sana
Sio kila anaetoa comment hapa ni mwalimu.... Punguza kulalamika