chichimizi
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 1,074
- 339
Mh poa sisi hata porini tutaenda tu.
hii thread ni kiboko.....hivi mtoa mada mbona cjawahi muona akichangia.....updates zozote kutoka mbeya? tupeni mlio okota.
Ajira tarehe 2 march leo wakuu wa shule wanamaliza kikao chao na naibu wazir wa elimu Hivyo majina yatatolewa trh 2.
Kuripot tarehe 10.
Now nmewasiliana nao wanasema may be next week... Tatizo pesa zimeenda njombe kwenye BVR
Inaonekana unazitamani Sana. Vumilia mkuu utapata tu.
Serikali inafanya vema kuchelewesha ajira za walimu.. Ili waalimu wawe na adabu kuwa.. Ukipangiwa kuleeee MKALAMBWISE uende
Ni kweli huwa sichangii kivile lakini huwa natembelea mara kwa mara kuangalia mapya waliyonayo walimu wenzangu.hivyo sio mbaya 2endelee kupashana kwa yanayojiri kupitia huu uzi.
Kumbuka huu uzi ni kwa walimu wote hususani wanaosubiri ajira za serikali kama mimi.
mkuu kwn huko MKALAMBWISE wanaishi wadudu
duh kumbe upo....hebu leta updates mkuu