Ajira za Ualimu 2015/2016 zinatoka lini?

Ajira za Ualimu 2015/2016 zinatoka lini?

Status
Not open for further replies.
Kweli hali tete, hadi umejiquote mwenyewe?

Kama vipi mmoja ajinyongee, Serikali yetu inavyopenda matukio, Rais atakuja msibani halafu ajira zitatolewa asubuhi asubuhi...

Napendekeza chichimizi ajinyonge, kila MTU apendekeze jina la mtu anayemtakaa

hali ni mbaya.,, mabinti wameolewa wameachika, ngoma bdo mbichi.. Mizinga mwanzo mwisho.
 
Last edited by a moderator:
Baridaaa mimi kesho fasta tu NAJIWASHA MOTO ROAD ili waeleweeeeeeee kuwa kitaaaa nipagumu sana.

Daaaaaaah yaaani hadi lesson plan nishasahauuuuu.
 
hali ni mbaya.,, mabinti wameolewa wameachika, ngoma bdo mbichi.. Mizinga mwanzo mwisho.

Hahahaaa tumepaukajeee? Hapa Bi mkubwa kashanipa notice....Mwisho March kama ajira hazijatoka nitafute mume niolewee, kachoka kulisha mtu mzima mwenzieee hahahhhaa
 
Baridaaa mimi kesho fasta tu NAJIWASHA MOTO ROAD ili waeleweeeeeeee kuwa kitaaaa nipagumu sana.

Daaaaaaah yaaani hadi lesson plan nishasahauuuuu.

Uache kabisaa ujumbee kuwa unajinyonga kisa ajira...Tena kajiwashe karibu na ofisi za Tamisemi...
 
Hahahaaa tumepaukajeee? Hapa Bi mkubwa kashanipa notice....Mwisho March kama ajira hazijatoka nitafute mume niolewee, kachoka kulisha mtu mzima mwenzieee hahahhhaa

ha ha ha. tutaongea vzur hapo.
 
Hahahaaa tumepaukajeee? Hapa Bi mkubwa kashanipa notice....Mwisho March kama ajira hazijatoka nitafute mume niolewee, kachoka kulisha mtu mzima mwenzieee hahahhhaa

ha ha ha ha..., thanx
 
Kutokana serikali kuwa na mambo mengi kwa mwaka huu, na jinsi serikali ilivo na utaratbu wa kusogeza mwezi mmoja mbele kila mwaka zoezi la kuajiri walm, kunauwezekano Mkubwa ajira zkatoka mwezi wa 5 trh 1,

Ukianza kufatilia miaka ya nyma ajira zlikua znatoka mwez wa 7 mwaka huohuo wa kumalza mafunzo, mwaka 2010 waliajiri mwaka huohuo mwezi 10 trh 1, but kuanzia 2011 waliajir mwz wa 1, mwaka 2012 waliajir mwz wa pili, mwk 2013 mwz wa 3 trh 1, mwaka 2014 ambao na mm nlikuwa miongoni tulianza rasmi ajira mwez wa 4 trh 1, mwaka huu je?

Hicho kigezo chako sio Rasmi n a hakina Mashiko kabisaa!!!!
 
Kwahyo majina ya ajira yatatoka kesho march 1 au hyo jtatu kama weng walivokuwa wanasema?
 
Kwahyo majina ya ajira yatatoka kesho march 1 au hyo jtatu kama weng walivokuwa wanasema?

hapa hakuna mwenye uhakika asee..
cha msingi ni kuckilizia tu maana hamna tarehe rasmi iliyotolewa.
watu tunaassume tu mkuu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom