Ajira za Ualimu 2015/2016 zinatoka lini?

Status
Not open for further replies.
Pinda aahidi watu wa mbeya ajira kwa waalimu zaidi ya elfu 36 kutolewa hivi karibuni. Asema idadi ya sayansi itaongezeka ikilinganishwa na mwaka jana. Ktk ajira hizo wamo wa msingi, sekondari pamoja na vyuo vya ualimu.
 
Hawa viongozi huwa hawajielewi kabisa...

Akiwa iringa alisema 35 elfu Leo mbeya kaja na figure nyingine ....

Walituma waraka vyuoni kuwaeleza hawahitaji tena walimu Wa Sanaa ilhali mahitaji bado ni makubwa!!

Wameondoa priority ya mkopo kwa walimu Wa arts hapo hapo wanaleta Sera ya elimu ambayo itapanua wigo wa elimu ya sekondari ambapo zitajengwa mpaka ngazi ya msingi na mahitaji ya walimu yatakuwa makubwa zaidi ndipo unapoona uwezo Wa viongozi wetu ni mdogo...
 
LUSUNGO
Kama uliisoma vizuri ile hotuba haisemi walimu 35 elfu tu bali inasema walimu 35 elfu na zaidi,so pinda anaposema setikali itaajiri walimu 36 elfu bado yupo sahihi kwa wananchi wa mbeya
 
Hawa viongozi huwa hawajielewi kabisa...

Akiwa iringa alisema 35 elfu Leo mbeya kaja na figure nyingine ....

Walituma waraka vyuoni kuwaeleza hawahitaji tena walimu Wa Sanaa ilhali mahitaji bado ni makubwa!!

Wameondoa priority ya mkopo kwa walimu Wa arts hapo hapo wanaleta Sera ya elimu ambayo itapanua wigo wa elimu ya sekondari ambapo zitajengwa mpaka ngazi ya msingi na mahitaji ya walimu yatakuwa makubwa zaidi ndipo unapoona uwezo Wa viongozi wetu ni mdogo...

alisema zaidi ya elfu 35 na si elfu 35 so usishangae akisema elfu 37 mkoa mwingine
 
Alichobugi pinda nikusema kuwa hiyo figure ni kwa walimu wa sec tu
 
uko sahihi kabsa, ila kuna watu wanajitoaga ufaham na kujifanya hawaelewi
 
Mtasubiri sana walimu, tunawachelewesha makusudi ili mpigike na maisha halafu tukiwapanga porini mnakuwa hamna option
 
Walimu nyie kaeni mkao wa kula kesho wakuu wa shule wote ndo wanamaliza mkutano wao na waziri wa elimu juu ya kuwaandalia mazingira mazuri ya kuish pindi mtakapopangiwa vituo vyenu vya kazi huko bush
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom