Ajira za Ualimu 2015/2016 zinatoka lini?

Ajira za Ualimu 2015/2016 zinatoka lini?

Status
Not open for further replies.
Mi naona ukishaajiriwa ni muhimu kuoa fasta na hasa ukimpata mwalimu mwenzako ili kusaidiana maisha

Ndugu, sijajua, ila maisha yetu tulio wengi tunategemewa Sana Na wazazi (extended family members-tumesomeshwa nao) so ukioa/kuolewa Mara baada ya kuajiriwa, utakuwa umetengeneza barrier flani hv, kiasi kwamba wanaweza wasifurahie kuajiriwa kwako.

Ila Ni mtizamo wangu Tu.
 
Hiyo ni kweli mkuu
 
Ndo madhara ya kulitumia bum ovyo dah kwel nmeamn mademu wakimalza chuo wanachoka vbya aisee tena naombea ajira zitoke baada ya uchaguz mkuu ili wachakae vzr
 
Hivi mfano wasipotoa ajira kwan walimu watakufa au laa. Ile sera ya kujiajiri inawahusu pia walimu hasa kuanzia mwaka huu. Hazina kuna bajeti nja nja tu.
 
sakharov

Namwamin coz ye ye alienda selection Kwa niaba ya chuo
 
Last edited by a moderator:
duuh!!!redio kiuno nyingi jf.....ajira tarehe 15/2/2015 so urce lecturer udsm soed Kurpot 1 march:::::andaa na uli.......,,

em thibitsha kuhusu izo ajira za walimu, huyo lecturer anahucka tamisemi au kaamua kujisemea tu??? funguka ndg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom