Ajira za Ualimu 2015/2016 zinatoka lini?

Status
Not open for further replies.
ajira marchi 16 siku ya jumatatu na kuripoti kazini ni kuanzia april 6. Hizi taarifa zimetoka jikoni kwani wizara ili kuwa unasubiri kibali kutoka sekretarieti ya ajira kwa watumishi kwa umma na sasa mambo yapo poa!

Majina yalikuwa yaachiwe mwezi huu lkn wakulu wameona haitakuwa na tija yeyote. Tulieni vijana hadi hiyo march.

Source: wewe amini tu hutaki sikushikii fimbo!
 
na vp kuhusu kuajiriwa kwaa walimu wa arts? wataajiriwa wote km miaka ya nyuma ama kutakua na mabadiliko ya kutoajiri walimu wa arts na kuajiri walimu wa sayansi pekee?

Na je washapanga ajira au bado hawajapanga?
 
Kibali kilishatoka tangu mwaka Jana kijana cha walimu elfu 32 ambao miongoni mwao ni walimu walioachwa awamu ya kwanza mwaka Jana wakaajiriwa baadae.....
 
na vp kuhusu kuajiriwa kwaa walimu wa arts? wataajiriwa wote km miaka ya nyuma ama kutakua na mabadiliko ya kutoajiri walimu wa arts na kuajiri walimu wa sayansi pekee?

Na je washapanga ajira au bado hawajapanga?

Waalimu Wa arts wataajiriwa wote mwaka huu ila kwa mwaka ujao Wa fedha ajira zao itakua mpaka zitangazwe.....
 
lusungo kwa hiyo tuwe na uhakika wa ajira?? dah kuna ndugu yangu yy nfo kwanza yupo mwaka wa pili education...sijui itakuaje huko mbele
 
Mkuu nimepata imani na maneno yako but tungepata source ingependeza sana
 
basi ngoja tusubirie tuone itakuaje....mi nfkr wakishatoa results za form four basi ajira za walimu zitakua njiani na zenyewe
 
daah chapa moyo konde then be flexible madogo, ztatoka2, mwenye interest anichek kuptia 0764316626 (tcha poul
 
sio wote wanaosubiria ajira ni madogo kama unavyodhani...wengine ni baba zako humu ndani.

Ni sawa ukasema wanaosubiria matokeo ya form 4 wote ni madogo. Kuna Shangazi zako, Wajomba zako na hata mababu zako.
 
unajua nin all of us we are not sure ni lin hasa what is important is to be patient and wait it
 
hii nchi sijui vp...mtandao wa wizara ya elimu mpaka leo haufunguki eti unafanyiwa marekebisho.....marekebisho gani muda mrefu namna hii utafikiri wanatengeneza meli
 
mzgo mzito sana , mda si mrefu ikikaa poa ndo itakua furaha ya walimu na wahitimu wa kidato cha 4.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom