ROBERT JAMES
Member
- Apr 30, 2016
- 15
- 4
Hakika kwa uwezo wa mungu tunayashinda
Mengi mno yanatukuta
Mengi mno yanatukuta
Nilikuwa kampuni moja kubwa tu hapa nchini kitengo cha IT,boss wangu muhindi nikiwa nimeanza kazi fresh from school toka DIT pale ITCOeICT nilisoma computer networking,yaani nilipewa project kubwa kubwa mimi kuziplan,kushauri na kusimamia nakumbuks project iliyonifanya nipigwe fitna ni ile ya pale mtaa wa lumumba jengo la floor 10 nilipolisimamia na kufanikiwa kuisha bila ya tatizo lolote na hapo ndipo nilipoonekana mtu muhimu kwenye kampuni maboss wenye kampuni wakasema niongezwe mshahara toka 500k to 1.5mil dah muhindi alibadirika na kuanza kunichukia mwishowe akapeleka fitna kwa boss eti niliiba processor chip ya servers ya voip hatimaye akafanikiwa nikaona acha nirudi shule tu.[/
Hakika..japokuwa wanaomtegemea Mungu ni wachache mana huu upande unahitaji uvumilivu sana uwe wa moto kweli kweli ukiwa vuguvugu unadondoshwa chini au unahama upande bila kutarajiaBro nachoweza kukuambia ni kitu kimoja Mungu Yupo.. na anajibu maombi yako yote ilimradi uwe mwamnifu. Uganga na uchawi upo pia, nimeshawahi kuwekewa kipingamizi katika biashara yangu kila siku naona sik haziendi. huhitaji kuwa una akili sana na kutumia sana nguvu, ukisali utakwepwa na shida zoote. Katika biashara haukwepi shida kama za uganga na uchawi kuwekewa fitna na kadhalika yapo pale pale na ngumu kuliko makazini..kikuu ni kuwa mwaminifu na kusali. Bila kumshirikisha Mungu na kutoa sadaka kwa Mungu ni ngumu sana kutoboa na sadaka sio kanisani au msikitini tu lakini hata kwa yatima, wasiojiweza, in short iunganishe biashara yako na Mungu...usione watu wanatoa matambiko hiyo ndio Miungu yao lakini watu kama Bill geti wanatoa sadaka kwa kusaidia nchi za kimaskini , hiyo ndo sadaka yake na ndo mana wanapeta. Na pa elewa kitu kimoja kila binadamu anataka kufanikiwa na kila binadamu anaekuona umefanikiwa alie na furaha namafanikio yako ni baba yako na mama yako tu si wengine kwa hiyo wivu upo tuu na binadamu kila mtu ana shida zake
Word
makazini kuna mambo sana, ili u survive unahitaji nguvu ya ziada kama si ya Mungu basi utakayoijua wewe
Kazi ya kuajiliwa popote pale sitaki... Mnataka kuuana kisa upuuzi tu.. Binadamu sio watu..
Bado umekosea mkuu.....Engeneering (correction)
Kama kweli umesomea fani hizo hapo juu kama unavyodai ungeweza angalau ku spell correctly what each acronym stands for. Kwa style hii ya uandishi huo ubingwa wa kuandika Project Reports unaodai kuwa nao upo mashakani. In fact, nautilia mashaka usomi wote uliojipachika.I did it under CISCO certification. but MCSA (microsoft certification system administrator), and MCSE (microsoft certification system engeneer) without certification at iSolve training Center in Rivonia, South Africa
Kama kweli umesomea fani hizo hapo juu kama unavyodai ungeweza angalau ku spell correctly what each acronym stands for. Kwa style hii ya uandishi huo ubingwa wa kuandika Project Reports unaodai kuwa nao upo mashakani. In fact, nautilia mashaka usomi wote uliojipachika.
I see. Thank you for your patronizing treatment, Sir. However, I have to say the number of times you keep misspelling the word "engineer" is a bit funny though.Huenda labda nilisoma kozi hizo ukiwa bado uko form 1 au standard 7 ndio maana huzifahamu hizo kozi vizuri. Ila typing error ni kitu cha kawaida sana tu.
Tofautisha kati ya
MCSA (Microsoft solution Associate)
MCSE (Microsoft Solution Expert)
NA
MCSA (Microsoft certified system Administrator)
MCSE (Microsoft certified system engeneer)
Fanya tafiti kujua kwanini acronyms zimefanana ila zinakuwa na maana tofauti maana siwezi kukusaidia kwa hili, kabla ya kuniandikia ulitakiwa ufanye utafiti wa kina sana kujua microsft alianzia wapi na sasa hivi yuko sehem gani.
In short IKO HIVI
MCSA Microsoft certified system Administrator exam haitolewi tena maana zilikuwa applied kwenye window server 2003 wakati huo sijui ulikuwa class ipi, mimi nilisoma na kufanya mtihani mwaka 2006 cheti kikiwa na signature ya Bill gate, kwa new system inaitwa MCITP (Microsoft Certified Information Technology)
The MCSA: Windows Server 2012 certification is a prerequisite for some of the top MSCE levels for SysAdmin positions, including:
MCSE: Server Infrastructure
MCSE: Desktop Infrastructure
MCSE: Private Cloud
IT pros who hold MCSA: Windows Server 2008 or a Microsoft Certified IT Professional (MCITP) certification can upgrade to Windows Server 2012, or directly to one of the specialized MCSE certifications
MCSE Microsoft certified system engeneer exam ni mtihani wa Microsoft windows NT operating system, related desktop systems, networking… hizi hazitolewi tena.
A Microsoft Certified Engineer, or MCSE has comprehensive knowledge of Windows Server 2000 or Windows Server 2003 including design, implementation, support and security. In addition to the server software, the MCSE also has in-depth knowledge of, and certifications in, the latest Microsoft operating systems. The MCSE certification improves your marketability with current and future employers, especially with companies that have not upgraded to Windows Server 2008.
The MCSE program is the most popular of a set of training programs that Microsoft calls the Microsoft Certified Professional (MCP). In other MCP programs, you can gain certification as a Microsoft Certified Solution Developer (MCSD), a Microsoft Certified Product Specialist (MCPS), or a Microsoft Certified Trainer (MCT).
Transitioning Your MCSE Skills to Windows Server 2008
Continue to build on your existing skills and be one of the first to become a certified expert on Windows Server 2008 (formerly code name "Longhorn"). Windows Server 2008 is the powerful new server technology that helps you increase the flexibility of your server infrastructure while saving time and reducing costs.
Microsoft Certified Systems Engineers (MCSEs) in Windows Server 2003 can quickly and easily transfer their skills to achieve Microsoft Certified Technology Specialist (MCTS) accreditation on Windows Server 2008. The MCTS credential enables professionals to target specific technologies and distinguish themselves by demonstrating in-depth knowledge and expertise in those technologies.
Make the transition from MCSE: Windows Server 2003 to MCTS: Windows Server 2008
Professionals with an MCSE on Windows Server 2003 must pass one exam to become an MCTS on Windows Server 2008. If you are an MCSE and pass this exam, you will earn three distinct MCTS certifications:
· MCTS: Windows Server 2008 – Active Directory Configuration
· MCTS: Windows Server 2008 – Network Infrastructure Configuration
· MCTS: Windows Server 2008 – Application Platform Configuration
Transition your skills to the next generation of Windows Server
Whether you are Microsoft Certified Systems Administrator (MCSA) or a Microsoft Certified Systems Engineer (MCSE) on Windows Server 2003, there is a transition path to becoming a MCTS on Windows Server 2008.
· Learn how to transition from MCSA: Windows Server 2003 to MCTS: Windows Server 2008
· Learn how to transition from MCSE: Windows Server 2003 to MCTS: Windows Server 2008
Sitaendelea mengine utajitaftia kuelewa zaidi. au ukikosa ntakupa reference zaidi.
Hahahaha mkuu nimecheka si mchezo aiseeewe acha tu haya mambo si mchezo kabisa, kwanza ukifika kwenye interview unaanza kutetemeka unashangaa baridi ya ghafla, unashangaa unajisikia kwenda kujisaidia mara unajisikia vibaya sasa huelewi hili tatizo linatokea wapi na mm nilikuwa mzima kumbe kuna mtu ana wachezea ili muonekane ma bwege hata kama ni baba yako anakufanyia interview na mmezoeana siku hiyo unaanza kumuogopa sana unatetemeka dah.
Mh! Kuna interview moja ya kipuuzi sana ila kazi yake ilikuwa na unono wa kufa mtu. Ilinitokea hii hali.we acha tu haya mambo si mchezo kabisa, kwanza ukifika kwenye interview unaanza kutetemeka unashangaa baridi ya ghafla, unashangaa unajisikia kwenda kujisaidia mara unajisikia vibaya sasa huelewi hili tatizo linatokea wapi na mm nilikuwa mzima kumbe kuna mtu ana wachezea ili muonekane ma bwege hata kama ni baba yako anakufanyia interview na mmezoeana siku hiyo unaanza kumuogopa sana unatetemeka dah.
Watanzania wanaongoza sana kwa Imani za kishirikina na zingine fake. Imani za ajabu ajabu zinakuwa Sambamba na umasikini Tanzanians hatuna happiness najaribu kuwaza level ya wasomi wanavyowaza kitunguli tunguli wengi kwenye viyoyozi na mashangingi hawana amani kwa ajili ya imani za ajabu ndo maana kikitokea kikombe cha babu kila mmoja atatupa alichonacho na kutimkia kwa babu na Kama si hivyo wengi wetu mapato yao yametekwa na na wachungaji lukuki ambao in reality ni ma agent. We are not happy as a Nation sijui Kwa Nini tuna Imani za ajabu hasa ushirikina na kufuata manabii fake waliovamia taifa letu na hakuna wa kumshika mkono mwenzake kulijua tatizo . I am sorry Ila huu ni ukweli usiopingika.Engineuring? Unaweza ukadhani unapigwa vita ila kumbe unajipiga vita mwenyewe.
Tulia kidogo tuache kujitia ujuaji mwingi usio na maana wala kichwa,Naomba kwa kutumia Course hizo hizo alizotaja Jibu swali la Course gani umesomea (jibu lako liwe ni course alizosomea huyo jamaa).Kama kweli umesomea fani hizo hapo juu kama unavyodai ungeweza angalau ku spell correctly what each acronym stands for. Kwa style hii ya uandishi huo ubingwa wa kuandika Project Reports unaodai kuwa nao upo mashakani. In fact, nautilia mashaka usomi wote uliojipachika.
Wacha shobo swali umeulizwa wewe? Kauzu wee! Takataka kama wewe nawajaza kwenye ignore list by the dozens every single day, na wewe jipongeze kwa ku-qualify. Pumbaaf!Tulia kidogo tuache kujitia ujuaji mwingi usio na maana wala kichwa,Naomba kwa kutumia Course hizo hizo alizotaja Jibu swali la Course gani umesomea (jibu lako liwe ni course alizosomea huyo jamaa).
Weka jibu lako katika mpangilio unaodhani wewe ungetakiwa kuwa sahihi au kufanya mtu anaesoma jibu aamini kua ni kweli mtoa jibu kasomea Hicho alichokiandika,tusiwe wepesi wa kukosoa.
Mi naomba uweke sawa Jibu la jamaa katika mfumo ambao ungejibu wewe (mwenye mashaka nae) usingekua na Mashaka kabisa kwa jibu lake.
UKISHAJIBU NI QUOTE chap nije nisome Jibu lako La kisomi Labda namimi naweza jifunza kujibu maswali kama hayo kwa usahihi.
UKISHAJIBU
Ukumbuke kua kuna wanafunzi walikuaga na miandilo mibaya darasani kiasi kwamba kwenye K" kubwa anaweka k" hata kutumia capital and small herufi ni mtihani lakini WANAFUNZI hao hao(miandiko ya bata) ndio walikuja TOBOA saivi nakutana nao wameajiriwa na wanavuta mkwanja mrefu kuliko wewe mremba mwandiko.
Msahishaji mtihani anasoma POINT hana muda na Ulivyoiandika so NEXT TIME angalia na vya kukosoa.