Joowzey
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 13,164
- 13,556
[emoji23] [emoji23]Hakika.
[emoji23] [emoji23]Hakika.
Naona Kijerumani zaidi mkuu.Sucbsirbed
Hahahaaa inaitwa kamati ya ufundi....ngoja n Ku pmJambo la msingi nikuacha unoko kunakikampuni binafsi nilikua nafanya kaz mpambe wa bosi alikua mnoko makato ya kiboya kosa kidogo makato matusi kunamzee alikatwa mshahara akatoa choz mpaka nikamuonea huruma crew nzima ikachanga hella tumuendee kwa mtaalam kwashinikizo nikawa Mjumbe katika watu watatu kilichotokea paka leo hii sichezi na riziki za watu nihatari
utakuta ofisi imejaa chupa za chai,mikate,Karanga ......duuwaTZ ni problem kwenye ajira binafsi ndio maana katika East Africa nchi ambayo ina waajiriwa wenfi kutoka mataifa mengine ni Tanzania. Wa TZ ni shida tunawaajiri hakuna jinsi lakini ni shida
Hiyo kozi hapa bongo haipo ? Labda esami ipo ,Trade Policy nzuri sana.
Katika Management huwa wanateuliwa watu wa ku sign checki kama 3 hivi au 2, ni ngumu kufanya namna kwa sababu anayeandika, mtumiaji na wanao sign hakuna mawasiliano na hakuna kinacho fanyika nje ya budget sasa namna itatokeaje, ilikuwa ngumu sana.ulivyosema tu ulikuwa unasaini"check", nkajua hyo kazi na ww uliifanyia namna na hustahili kuwepo
we acha tu haya mambo si mchezo kabisa, kwanza ukifika kwenye interview unaanza kutetemeka unashangaa baridi ya ghafla, unashangaa unajisikia kwenda kujisaidia mara unajisikia vibaya sasa huelewi hili tatizo linatokea wapi na mm nilikuwa mzima kumbe kuna mtu ana wachezea ili muonekane ma bwege hata kama ni baba yako anakufanyia interview na mmezoeana siku hiyo unaanza kumuogopa sana unatetemeka dah.Watu interview tu ya kazi wanaenda kufukizwa kwa waganga
sijawahi amini na sitakaa niamini kuwa kuna ushirikina, yanayotokea na niliyoyaona ni kitu gani hilo lilikuwa swali, kwanini nikifika katika maeneo yangu hali inabadilika ghafla ila nikiwa maeneo mengine hali iko shwari unataka nikae kimya nisitafakari kwanini hiloAcha kuamini mambo ya kishirikina.....wewe unatatizo la kiafya...kupatwa na kizunguzungu au kubanwa kifua ulitakiwa kwenda hospital....alafu umeshaamini kuwa unapigwa juju tayari ulishajiaribu kisaikolojia so achana na hayo mawazo mfu.....
Engeneering (correction)Engenieuring
Engeneering (correction)Ndio nini?
Engeneering (correction)Engineuring ni nini mkuu?Naona kila saa unairudia rudia mkuu
Dah.....[emoji41]
![]()
ukifanya kazi na wazungu kwa mazoea lazima utashindwa tu na utakimbia, kazi yangu ya kwanza nilifanya na wazungu ndio maana nilizoea hivyo kujaribu kuonyesha competence na ku invest kwenye elimu, ukiona mtu anapambana na competence yako ujue ni bwege na wengi wako hivyo, sisi tunachokifanya ni uonyeshe competence yako na mimi yakwangu ili tujenge kitu na sio uanze chuki eti naona huyu anajifanya anaweza sana... shida tupuMuendelezo May ila ghafula tu IMO!?
Aiseee!!!
Any way, palipo na riziki hapakosi wanafiki (wanafiki Yaani, wachawi, wauaji, wambea, wazinzi n.k.n.k) pole mkuu.
Tena , muendelezo mwingi mwezi wa April Duuuuuuh...
Africa kuna shida sana,nimefanya kazi na wazungu yaani wao ni " competence is your strength in the job market"
Na hapa ikumbukwe kuwa , kweli hata wazungu wana vimemo ila mara nyingi sana ikitokea "memo" ikatumika still inatumika to a person who is very intelligent and competent on his/her profession.