Ajira za private sector zina mambo ya ajabu na visa

Ajira za private sector zina mambo ya ajabu na visa

Hongera saana mkuu, unaonekana uko smart saana, hila ukicheza hao jamaa watakuuwa , mkuu umesomea wapi ?
University of Dar es salaam, University of Ghana, Eastern and Southern Africa management institute, Trade policy training Center in Africa, University of cape town, Trade Law center
 
Baada ya kuona engineuring [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimeacha kusoma
 
Jambo la msingi nikuacha unoko kunakikampuni binafsi nilikua nafanya kaz mpambe wa bosi alikua mnoko makato ya kiboya kosa kidogo makato matusi kunamzee alikatwa mshahara akatoa choz mpaka nikamuonea huruma crew nzima ikachanga hella tumuendee kwa mtaalam kwashinikizo nikawa Mjumbe katika watu watatu kilichotokea paka leo hii sichezi na riziki za watu nihatari
 
kinacho nipa(ga) raha kila mtu ni mwema, kila mtu anamtegemea Mungu ila matendo maovu yanazidi kila leo.

kila mtu anaonewa ofisini, kila mtu analogwa ila ukweli nao ufahamu watanzania wengi tuna wivu, majungu na mambo ya kipuuzi si kdg
 
Acha kuamini mambo ya kishirikina.....wewe unatatizo la kiafya...kupatwa na kizunguzungu au kubanwa kifua ulitakiwa kwenda hospital....alafu umeshaamini kuwa unapigwa juju tayari ulishajiaribu kisaikolojia so achana na hayo mawazo mfu.....
 
ulivyosema tu ulikuwa unasaini"check", nkajua hyo kazi na ww uliifanyia namna na hustahili kuwepo
 
Back
Top Bottom