Ajira za private sector zina mambo ya ajabu na visa

Ajira za private sector zina mambo ya ajabu na visa

Nishauri kitu kimoja, unapokuwa maeneo ya kazi lazima kila mtu achukue muda kumjua aliye naye isije ikatokea siku moja ukamshangaa eti dah flan kumbe ndivyo alivyo hapana, muelewe boss wako anataka ufanyeje kazi na u meet standard zipi za kazi, kuna watu wana tabia zao za huko nyuma ambazo huwa wanataka kuziendeleza popote waendapo tabia za hovyo, akishapata alimu aliyonayo basi inatosha anaona ameshafika, hapana kujiongeza ki elimu kama trainings, capacity buildings na mengine zinasaidia sana ku improve uwezo wa kila mtu na zinaweza zikakupa fursa ya kupata kazi kwenye mataifa mengine. tusifanye kazi kwa mazoea ni shida sasa mwenzio anapojiongeza kwa kufanya tafiti na kujua mengi yanayohusu kazi yake ili afanye vizuri zaidi kwanini umuonee wivu, kwanini umchukie? tuamke wenzetu wametuzidi tupambane kwa hoja na uwezo wa kazi si vinginevyo.
 
Acha longolongo sehemu zote ulizopitia. WHY ONLY YOU ???? JIULIZE. UTACHUKIWA NA WATU WOTE ? JICHUNGUZE KWANZA
 
Hiyo kozi hapa bongo haipo ? Labda esami ipo ,
Ipo ESAMI lakini inatolewa na Lund University ni ghali kidogo kama ujapata Scholarship na unaisoma kwa module full time sio distance learning approach.Asilimia kubwa ya wanafunzi wanatoka nje ya Tanzania.
 
sehem nilizopitia ni 2 tu kenya na moja hapa tz unahisi ni ngapi? kenya ubaguzi maana wanauliza kwann mkenya asiwe na hiyo nafasi, huku boss alipata kazi akiwa na memo kwakuwa ni ndugu wa wanasiasa elimu diploma. maadui wapo hata kwako na ni zaidi ya 7
Acha longolongo sehemu zote ulizopitia. WHY ONLY YOU ???? JIULIZE. UTACHUKIWA NA WATU WOTE ? JICHUNGUZE KWANZA
 
Uliyoyaongea ni kweli majungu,uchawi,wivu hizo tabia zimekithiri Sana serikalini na Halmashauri,ukipendeza kwao ni shida
 
Mkuuu nakushauri kitu kimoja ISHI VIZURI NA WATU..... haiwezekani kila saa mikosi ikukute wewe . usipende sana kusifiwa sehemu za kazi na penda sana kuwafundisha watu kama wewe umebarikiwa kujua mengi. Ukifanya hivo haman ataekufuatilia maeneo ya kazi. Na jali maisha yako usifuatilie ya wengine, usiseme watu. uwe na kauli nzuri. in short kuwa mtulivu maofisini kwa watu. Naona watu wengi sana wanalalamika oh wamepewa ubosi wtu wanawashambulia hii ni kwasababu watu wanahisi a. unaringa b. unawanyanyasa c. hautkelezi kazi ipasavyo d. una upendeleo. kuna mabosi nimefanya nao kazi wako hizo positions miaka 20 na hamna mtu ana shida nao wewe sehemu zote unapata pingamizi why? pia heshimu kils mtu kiburi fanya kwenye kampuni yako.
Last very important point... WEWE KUWA MJINGA SIKU ZOTE NA KUBALI KUJIFUNZA, USIJIONE UNA AKILIA KULIKO BOSI WAKO, WAFANYAKAZI WENZAKO NK.... KUBALI KUJIFUNZA KUTOKA KILA MTU MKUUU
Hapa kuwa mjinga siku zote ndio sipendi inasababisha watanzania tunapiga maktime sem moja hatusogei..Unajifanya mjinga huku efficiency na creativity vinakua chini na huu ndio ujinga kiwango cha lami. Inakera kujua kitu flan vizuri ukaogopa kukifanya kisa eti utaonekana mjuaji upigwe vita kali. Watz tuache basi kidogo ushirikina na nimependa Mung Chris alivyosema kama ni vita basi iwe kwenye ujuzi na jujiongezea elimu sio vita za kiboya kwa waganga na kuwekeana sumu.
 
Jambo la msingi nikuacha unoko kunakikampuni binafsi nilikua nafanya kaz mpambe wa bosi alikua mnoko makato ya kiboya kosa kidogo makato matusi kunamzee alikatwa mshahara akatoa choz mpaka nikamuonea huruma crew nzima ikachanga hella tumuendee kwa mtaalam kwashinikizo nikawa Mjumbe katika watu watatu kilichotokea paka leo hii sichezi na riziki za watu nihatari
aiseeee dunia ina mambo ..usiniambie mkuu
alipatwa na nini huyo !!? sema makazini kuna laana aiseee
 
mkuu hii ndio Tz Baba '' watu wakikushindwa huku wanakutafutia huku ..nahizo ndio changamoto zenyewe za kuzaliwa ktk hili taifa .so wew endelea kupambana tu ..maana hakuna namna otherwise ukafanye kazi ulaya na America huko ndio hautorogwa ..miongoni mwa mambo ambayo ni mejifnza katk umri wangu huu nilionao..nikwamba MTU YEYOTE YULE ANAYEYATAFUTA MAFANIKIO MAKUBWA KATK MAISHA YAKE HAPA TZ..AISEE HUYO KAAMUA KUUNUNUA UGOMVI MKUBWA SANA ..MAANA WATAIBUKA WATU WASIO KUPNDA HAO MPKA UTASHANGAA NIWAPI WALIPOTOKEA..NA USIPOKUWA MAKINI LAZIMA WAKURUDISHE ULIPOTOKA
 
Kuna njia kama tatu za nguvu za kupambana au kijikinga na hawa wafitini.

Mungu
Uganga/uchawi
Physical

Sasa wapambanaji hebu mtuambie bila kutuficha mnapambana vipi kushinda. Mana kuna wakat unajiuliza hivi hili jitu niaje.. Umekutana nalo kwenye level flan za kusaka maisha wala sio kwenye ajira halikujui kiundani na wewe hulijui chakushangaza hilo jitu linaanza kukutathmini..ukiliomba msaada wa kimawazo na kipesa hata kama anazo hakupi na umshirikishe wazo sasa yeye anakuvunja moyo hapo unagundua mshenzi anawivu kichinichini. Mara nyingi watu kama hawa mkiwa hamna ukaribu sana au kukutana keenye route zenu kila mara basi ndio ataacha kujipimishia/kuumizwa na level yako. Kwahyo haya mambo sio ajirani tuu yanaanzia mbali sana.
 
Hapa kuwa mjinga siku zote ndio sipendi inasababisha watanzania tunapiga maktime sem moja hatusogei..Unajifanya mjinga huku efficiency na creativity vinakua chini na huu ndio ujinga kiwango cha lami. Inakera kujua kitu flan vizuri ukaogopa kukifanya kisa eti utaonekana mjuaji upigwe vita kali. Watz tuache basi kidogo ushirikina na nimependa Mung Chris alivyosema kama ni vita basi iwe kwenye ujuzi na jujiongezea elimu sio vita za kiboya kwa waganga na kuwekeana sumu.
Kuwa mjinga siku zote maana yake Stay hungry stay foolish, ina maaana weewe uwe mtu wa kujifunza siku zote na sio mtu wa kujikoki kwamba unajua.
 
University of Dar es salaam, University of Ghana, Eastern and Southern Africa management institute, Trade policy training Center in Africa, University of cape town, Trade Law center
Excuse me Sir. If I may ask: Which of the above institutions did you do your professional training in Network Topology Design?
 
Kuna njia kama tatu za nguvu za kupambana au kijikinga na hawa wafitini.

Mungu
Uganga/uchawi
Physical

Sasa wapambanaji hebu mtuambie bila kutuficha mnapambana vipi kushinda. Mana kuna wakat unajiuliza hivi hili jitu niaje.. Umekutana nalo kwenye level flan za kusaka maisha wala sio kwenye ajira halikujui kiundani na wewe hulijui chakushangaza hilo jitu linaanza kukutathmini..ukiliomba msaada wa kimawazo na kipesa hata kama anazo hakupi na umshirikishe wazo sasa yeye anakuvunja moyo hapo unagundua mshenzi anawivu kichinichini. Mara nyingi watu kama hawa mkiwa hamna ukaribu sana au kukutana keenye route zenu kila mara basi ndio ataacha kujipimishia/kuumizwa na level yako. Kwahyo haya mambo sio ajirani tuu yanaanzia mbali sana.

Bro nachoweza kukuambia ni kitu kimoja Mungu Yupo.. na anajibu maombi yako yote ilimradi uwe mwamnifu. Uganga na uchawi upo pia, nimeshawahi kuwekewa kipingamizi katika biashara yangu kila siku naona sik haziendi. huhitaji kuwa una akili sana na kutumia sana nguvu, ukisali utakwepwa na shida zoote. Katika biashara haukwepi shida kama za uganga na uchawi kuwekewa fitna na kadhalika yapo pale pale na ngumu kuliko makazini..kikuu ni kuwa mwaminifu na kusali. Bila kumshirikisha Mungu na kutoa sadaka kwa Mungu ni ngumu sana kutoboa na sadaka sio kanisani au msikitini tu lakini hata kwa yatima, wasiojiweza, in short iunganishe biashara yako na Mungu...usione watu wanatoa matambiko hiyo ndio Miungu yao lakini watu kama Bill geti wanatoa sadaka kwa kusaidia nchi za kimaskini , hiyo ndo sadaka yake na ndo mana wanapeta. Na pa elewa kitu kimoja kila binadamu anataka kufanikiwa na kila binadamu anaekuona umefanikiwa alie na furaha namafanikio yako ni baba yako na mama yako tu si wengine kwa hiyo wivu upo tuu na binadamu kila mtu ana shida zake
 
Nilikuwa kampuni moja kubwa tu hapa nchini kitengo cha IT,boss wangu muhindi nikiwa nimeanza kazi fresh from school toka DIT pale ITCOeICT nilisoma computer networking,yaani nilipewa project kubwa kubwa mimi kuziplan,kushauri na kusimamia nakumbuks project iliyonifanya nipigwe fitna ni ile ya pale mtaa wa lumumba jengo la floor 10 nilipolisimamia na kufanikiwa kuisha bila ya tatizo lolote na hapo ndipo nilipoonekana mtu muhimu kwenye kampuni maboss wenye kampuni wakasema niongezwe mshahara toka 500k to 1.5mil dah muhindi alibadirika na kuanza kunichukia mwishowe akapeleka fitna kwa boss eti niliiba processor chip ya servers ya voip hatimaye akafanikiwa nikaona acha nirudi shule tu.
 
Excuse me Sir. If I may ask: Which of the above institutions did you do your professional training in Network Topology Design?
I did it under CISCO certification. but MCSA (microsoft certification system administrator), and MCSE (microsoft certification system engeneer) without certification at iSolve training Center in Rivonia, South Africa
 
Ujumbe mzuri mengi ya kujifunza mkuu asante kwa kushare ,,ila acha undezi wa kusema itaendelea mwezi flani inaondoa u serious wa ujumbe wako
 
Back
Top Bottom