Ajira za askari zishatoka?

Ajira za askari zishatoka?

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
3,652
Reaction score
5,133
habar wanajamvi!

nilikuwa naomba kuuliza kuhus kuuliza ajira za polisi tayar zishatoka au bado kizungumkuti cha kusitishwa ajira? naona jkt wamechukuliwa form six tu c wengine hatujajua inakuwaje so kwa mwenye taarifa kamili anijuze.
 
Sema nafasi za kwenda chuo cha upolisi sio ajira za upolisi.
 
Hapo sasa. Kila kitu na enzi zake.
walishazoea ukienda chuo cha polisi ndo ajira hiyo!! kazi kubwa inabaki kuhakikisha unapangiwa usalama barabarani, ukipangiwa FFU imekula kwako.
 
walishazoea ukienda chuo cha polisi ndo ajira hiyo!! kazi kubwa inabaki kuhakikisha unapangiwa usalama barabarani, ukipangiwa FFU imekula kwako.
Hakuna sehemu tamu kama FFU
 
habar wanajamvi!

nilikuwa naomba kuuliza kuhus kuuliza ajira za polisi tayar zishatoka au bado kizungumkuti cha kusitishwa ajira? naona jkt wamechukuliwa form six tu c wengine hatujajua inakuwaje so kwa mwenye taarifa kamili anijuze.
Bado hazijatoka na hata zikitoka zitawahusu wale waliopo jkt au kama watachukua mtaani basi watachukua wale waliopitia mafunzo ya jkt ya mujibu wa sheria
 
Back
Top Bottom