NGASEKU MDOGO
Member
- Mar 20, 2013
- 50
- 10
Hivi inawezekana kweli taasisi itangaze kazi kwa mshahara huu tena bank kubwa jamani hivi ni makusudi au ni dharau. Naomba mnisaidie watu wa sales ndo mishahara yenu hiyooo
Nahisi utakuwa umesahau neno ama kwa wiki au kwa mwezi.
Taja jina la bank ili walioajiriwa kwenye hiyo bank wathibitishe.
Taja jina la bank ili walioajiriwa kwenye hiyo bank wathibitishe.
duh basi hatari sana labda kutakuwa na marupurupu mengine or kuna labda hela ya usafiri,or may be chakula n.k coz ni ngumu sana kuamini kama kuna mtu anaweza kufanya kaazi alafu akapewa 90k tu kavuKwa mwezi hamna contract ni bank ya waingereza kwa asili watu wameshapiga interview na kuitwa arusha huku
duh basi hatari sana labda kutakuwa na marupurupu mengine or kuna labda hela ya usafiri,or may be chakula n.k coz ni ngumu sana kuamini kama kuna mtu anaweza kufanya kaazi alafu akapewa 90k tu kavu
barclays premier league
na-confirm kwamba kama ndio hivi, hakuna bank wanayolipa vizuri.
Mkuu crdb nmb NBC huko mara tatu ya mshahara Wa mwalimu graduate