G12
Senior Member
- Aug 31, 2012
- 156
- 51
Usijali kaka…inawezekana kuna donge zuri unaandaliwa sehemu ! Keep praying buddy
Hiyo wizara wezi tuu, changa la macho hilo.
Usijali kaka…inawezekana kuna donge zuri unaandaliwa sehemu ! Keep praying buddy
Barua ya maombi unaweza kuacha kwenye ms-word au ukaiweka kwenye pdf according to instruction from portal
Kuku wa kienyeji application status yangu ilikuwa imeandikwa first interview lakini leo naona wamebadili na kuandika application review in progress, hiyo inamaana gani mkuu. Naomba msaada wako
wakuu mbona leo nimeingia kwenye website yao hakuna application on line yaan hakuna vacancy kwa sasa na wakati kuna tangazo lao la 6/05 na mwsho wa kutuma n 20/05..
hilo la naot, unatuma posta maombi
Waliandka hvyo n nashukuru nmeitwa kasichana Mimi!! Wacha tukauane kwenye panel
Waliandka hvyo n nashukuru nmeitwa kasichana Mimi!! Wacha tukauane kwenye panel
Uliabdikiwa hivyo alafu ilukaitwa katika majina haya waliotoa ama umepigiwa simu? Me nimeandikiwa hivyo na sijaitwa
majina wametoa kwenye website yao
Ndio langu hakuna niliomba tan trade