MKUDE SIMBA
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 305
- 167
samahani wakuu, kabla sijakushawishi kuku wa kienyeji ugombe naomba unijuze,unashauri haya yote kwa utashi binafsi au kuwa mmoja wa wataalamu wa hii system?
Majaribio yashaisha sa HV wamesema ni rasimi
Majina yametoka ndugu zangu, tembelea website yao.
Kwa wale walioitwa waje kutoa ushuhuda hapa, ni kweli waliona neno First interview na wameitwa sasa.
Naombeni munishawishi kugombea, mtafurahi wenyewe nikipata madaraka.
Mimi wenu,
Kuku wa kienyeji.

Kwanza napendeza kuipa hongera kwenda ajira.go.tz kwa jitihada utumishi wanazozifanya katika kusogeza huduma karibu kwa wateja.
Je wewe ni mmoja kati ya watu ambao wameshawahi kufanya maombi ya kazi online kwa kutumia Recruitment portal ???
Bila shaka jibu lako ni ndio. Nataka nikufundishe kidogo utawezaje kujua kama utaitwa kwenye inteview kabla hata majina hayajatoka. Je una kiu hiyo ya kutaka kujua ??
Ingia kwenye akaunti yako, click My applications...Zitakuja positions ambazo umesha-apply tayari...Angalia kuna mahala pameandikwa Application Status -Kama umebahatika, utakutana na neno First Interview -HONGERA SANA
Mimi application status zote zina FIRST INTERVIEW status, lakini sijaitwa hata kazi moja.
Mngesomea ualimu sasa hivi mngekuwa mnakala bata tu
Kwanza napendeza kuipa hongera kwenda ajira.go.tz kwa jitihada utumishi wanazozifanya katika kusogeza huduma karibu kwa wateja.
Je wewe ni mmoja kati ya watu ambao wameshawahi kufanya maombi ya kazi online kwa kutumia Recruitment portal ???
Bila shaka jibu lako ni ndio. Nataka nikufundishe kidogo utawezaje kujua kama utaitwa kwenye inteview kabla hata majina hayajatoka. Je una kiu hiyo ya kutaka kujua ??
Ingia kwenye akaunti yako, click My applications...Zitakuja positions ambazo umesha-apply tayari...Angalia kuna mahala pameandikwa Application Status -Kama umebahatika, utakutana na neno First Interview -HONGERA SANA
Mkuu hata mimi nimekuta zote nilizo apply nimeandikiwa First Interview ila nimecheki majina hakuna... mfano hawajaweka applicants wa Tanzania Tree Seed Agency....sasa sijui inakuaje? au watatoa baadaye tuendelee kusubiri mkuu wangu au tumuite kuku wa kienyeji atusaidie hapa...Kwahyo wote wanaoandikiwa 1st interview wataitwa? Mmh me mbna zote nlizoapply nmeandikiwa 1st interview na nyngne nliapply kujaribu tuu sina hata qualifications ila meandikiwa 1st interview...Is it kweli hilo neno linarefer kuitwa kwa interview?
Mkuu hata mimi nimekuta zote nilizo apply nimeandikiwa First Interview ila nimecheki majina hakuna... mfano hawajaweka applicants wa Tanzania Tree Seed Agency....sasa sijui inakuaje? au watatoa baadaye tuendelee kusubiri mkuu wangu au tumuite kuku wa kienyeji atusaidie hapa...
Secratarty wanazingua.sana haiwezekani nafasi 5 kuita watu 1000 hayo ni matumizi mabaya ya rasilimali za wananchi tena masikini wasiokua hata na kipato ni wizi na ufisadi mtupu
Kaka inaonekana ww n mzoef na hii portal....iv kwann vyuo vya serikal kama mipango IRDP hakipo na hata course zake hazitambulik???tuanzie hapo kwanza maana nmeona umesema portal ishakamilika
Niliwekewe hivyo lakini sijaitwa mkuuu.sijui nina mikosi gani mie.na nafasi nilioomba wameita MTU mmoja tu
Msaada plzz mbona kipengele cha training na work experience najaza zote nikitaka kusave haijisave nifanyeje? Ama nakosea nini? Maana mpka sasa nina 49% tu sijui hizo sabini naFikisha je?
Me najaza Ile form but nashindwa kufikia 70%, can someone advice please
mkuu umeattach kile kitu ie vyeti, picha na vinginevyo ??