kimunyesam
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 220
- 203
Chaluma enterprises ltd.shinyanga ni kampuni mpya imeanzisha shughuli zake shy na kahama mjini.inatafuta binti awe secretary shy mjini mwenye uzoefu au vyeti tuwasiliane kimunyesam@yahoo.com binti mwenye formfour matokeo ya kuridhisha na hakuendelea shule atafikiriwa kufundishwa kazi.kama uko shy tafadhali tuwasiliane.