SHIVA MAINA
JF-Expert Member
- Jan 9, 2015
- 293
- 42
Wale mlioko vyuoni mjiandae kutuma maombi utumishi au halmashauri, ajira za mkupuo mwisho wake ni kwa graduate wa 2014.,,
kuna mama afisa elimu msingi kaniambia jana kuwa wameambiwa waanze kuandaa mazingira.walimu ajira mpya wanaripoti 1.5.2015. karibuni utumishi wa umma! sisi tumeshakuwa wazoefu!
acha ubishi hakuna ajira Mwaka huu,we unadhani waziri nyalandu alivyolopoka alipitiwa?