Ajira mpya za ualimu ni chache mno

Mwanamke kila nikikuona nakumbuka kile kisa chako cha kuliwa kimasihara. Halafu najikuta natamani ningekuwa mimi hahaha

Samahani bro, naomba niweke kitu kimoja clear! Hilo swala lilikuwa kule kwenye uzi wa kulana kimasihara, kama umemuona huku ukakumbuka visa vya kule tabasamu na upite kiume huna haja ya kuanza kumharibia mtu mtiririko wake, watu huandika na kusahau.

Mnavyowazonga namna hii sababu tu alitoa kisa chake, haileti maana na sijui hapa wewe unataka afanye nini? Hali hii ndiyo huwafanya wanawake wengi wasipost kwenye visa mbalimbali then tunawalaumu kwa kutokupost coz wachache waliopost hawana amani majukwaani!
 
Kweli mzee halafu sio kila kisa kule kilichoandikwa ni cha kwel wengi wanatoa visa kufurahisha jukwaa na kufanya story inoge hvy puuzia tu kama alivyosema mdau tujikite zaidi kweny mada iliyoanzishwa hapo juu tusichafue hili jukwaa kwa mawazo yako mfu.
 
My two sons, one with maths holder of two degrees and another with diploma, all are teachers and are jobless since wamalize vyuo.

Ngoja nione wasipopata ajira nitajua hilo tangazo ni uongo.

I'll back. Nina hasira so I speak English.
Tuungane October 28 tupige kura za hasira tumuondoe meko.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Sasa hivi wenzenu wako busy kuangalia majina ya vijana wao wa CCM walioajiriwa kutukana wapinzani na kwa idadi ya hiyo mifugo yao inafikia elfu 13 kabisa, Sasa wewe jifanye unatafuta ajira wakati jina lako halipo kwenye list ya watukanaji na waropokaji.
Tuma jina lako kwa Polepole ukiambatanisha post kama 10 ulizowahi kuwatukana wapinzani na 10 ulizowahi kumsifia malaika wao.
 
Huu ni ukweli mchungu.

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
 
Sasa hivi wenzenu wako busy kuangalia majina ya vijana wao wa CCM walioajiriwa kutukana wapinzani na kwa idadi ya hiyo mifugo yao inafikia elfu 13 kabisa, Sasa wewe jifanye unatafuta ajira wakati jina lako halipo kwenye list ya watukanaji na waropokaji.
Tuma jina lako kwa Polepole ukiambatanisha post kama 10 ulizowahi kuwatukana wapinzani na 10 ulizowahi kumsifia malaika wao.
Mnyonge mnyongeni na haki yake mpeni.
Mjumbe umeudanganya umma. Mimi sina chama na sifurahishwi na mambo ya huyu Malaika ila kwenye hili hauko sahihi.

Mwaka jana ilitokea hali kama hii. Mimi sina kadi ya chama chochote wala sijawahi kumtukana yeyote ama kumsifia yeyote ila nilipangiwa kazi halmashauli ya Mpwapwa Dodoma kama mwalimu wa Physics & Mathematics. bila kusahau kua mimi sijasoma ualimu ila kwa regulations za awali, ilikuepo hiyari yakuamua kuwa mwalimu.

Kufupisha story, ualimu nilifanya siku 4 nikaacha (Siku niliyoenda kesho yake nikaondoka, baada ya wiki mbili nikaenda tena nikakaa siku tatu nikaondoka milele, jumla siku nne). D.E.O alitaka nimsujudie, sikukubali. Siku zote 4 nilizokua kituo cha kazi sikupatikana hewani maana laini zangu za voda na tigo kule hazishiki kabisa.

Kuna gari moja tu linalotoka kule kwenda mjini. Linaondoka saa tisa usiku. Ukilikosa hilo hakuna tena safari. Kwakifupi kupanga safari yakwenda mjini ni kupanga mkesha.

Jumapili hilo gari halisafiri. Kwahyo ukikesha usiku wa ijumaa kuamkia jumamosi, utasafiri ufike mjini saa tatu asubuhi na ili jumatatu uwe kazini itabidi jumamosi hiyohiyo saa saba mchana uwe kwenye gari hiyo hiyo maana huo ndo muda wakurudi. So una chini ya masaa manne kukamilisha kilichokupeleka mjini. Ila unasafiri kwa zaidi ya masaa 13 kwenda mjini.

Nimechanganya mengi hapo ila shortly, nafasi ni bahati nasibu wala sio kutukana wapinzani (Ni uhakika kama una Physics & Mathematics). Mazingira ya kazi ni Magumu. Mshahara ndo ivo tena. Kada ya ualimu inadharaulika.

Niliambulia hela ya kujikimu
 
Ila ukumbuke kuna shule za Private ambazo zina chukua waalimu wengi karibia kuliko wa Serikali hivyo ajira sio Serikalini peke yake
Huko private ni takataka awamu hii. Kuna unyanyasaji balaaa. Kuna shule mimi niliaply nikafundisha miez 2 nikaacha. Ni shule kubwa but walimu walikuwa hawajalipwa takribani miez 4. Na shule inamakusanyo makubwa tu. Walimu wanapiga kazi balaaa. Mimi nikaona ujinga huu. Kuna sakati usipokuwa na mishe unaona kama mwenzako aliyeajiliwa private anaraha sana lakini kiuhalisia kajishikiza tu

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
 
Mnyonge mnyongeni na haki yake mpeni.
Mjumbe umeudanganya umma. Mimi sina chama na sifurahishwi na mambo ya huyu Malaika ila kwenye hili hauko sahihi.

Mwaka jana ilitokea hali kama hii. Mimi sina kadi ya chama chochote wala sijawahi kumtukana yeyote ama kumsifia yeyote ila nilipangiwa kazi halmashauli ya Mpwapwa Dodoma kama mwalimu wa Physics & Mathematics. bila kusahau kua mimi sijasoma ualimu ila kwa regulations za awali, ilikuepo hiyari yakuamua kuwa mwalimu.

Kufupisha story, ualimu nilifanya siku 4 nikaacha (Siku niliyoenda kesho yake nikaondoka, baada ya wiki mbili nikaenda tena nikakaa siku tatu nikaondoka milele, jumla siku nne). D.E.O alitaka nimsujudie, sikukubali. Siku zote 4 nilizokua kituo cha kazi sikupatikana hewani maana laini zangu za voda na tigo kule hazishiki kabisa.

Kuna gari moja tu linalotoka kule kwenda mjini. Linaondoka saa tisa usiku. Ukilikosa hilo hakuna tena safari. Kwakifupi kupanga safari yakwenda mjini ni kupanga mkesha.

Jumapili hilo gari halisafiri. Kwahyo ukikesha usiku wa ijumaa kuamkia jumamosi, utasafiri ufike mjini saa tatu asubuhi na ili jumatatu uwe kazini itabidi jumamosi hiyohiyo saa saba mchana uwe kwenye gari hiyo hiyo maana huo ndo muda wakurudi. So una chini ya masaa manne kukamilisha kilichokupeleka mjini. Ila unasafiri kwa zaidi ya masaa 13 kwenda mjini.

Nimechanganya mengi hapo ila shortly, nafasi ni bahati nasibu wala sio kutukana wapinzani (Ni uhakika kama una Physics & Mathematics). Mazingira ya kazi ni Magumu. Mshahara ndo ivo tena. Kada ya ualimu inadharaulika.

Niliambulia hela ya kujikimu
Mkuu yote uliyosema ni sahihi, na niliyosema pia ni sahihi.
Kikubwa bado hujajua nini kinaendelea na sijasema watu hawatapata ajira ila subiri chujio lianze utajua vizur tu.
Rejea ajira za watendaji kata.
 
Back
Top Bottom