Ajira mpya za ualimu ni chache mno

Ajira mpya za ualimu ni chache mno

Mugabe Jr

Senior Member
Joined
Aug 19, 2020
Posts
161
Reaction score
287
Waalimu tarajali tumuombe Sana MUNGU aseeeh, mtaani tuko zaidi ya 80,000 kwa hizi ajira 13,000 sisi watoto wa AFRICAN POOR PEASANT tusio na connection MUNGU atusaidie. Aseeeh siyo kwa competition hii. MUNGU SIMAMA NASI.
 
Daaaaaah
Mtaani ni zaidi ya 200,000., ata hizo 13, 000 ni mwendelezo wa ahadi hewa za kisiasa tangu aingie hyu mwanakulitafuta.
hizi siasaaa kweli aseeeh Kumbe tuko zaidi ya laki mbili hii kitaalamu inaitwa gombania goli 😁
 
Hapo haina haja ya GPA, izo nyingi sana. Kama ulipass na GPA nzuri na ulisoma Masomo ya Science we andaa matumizi mshahara unakuja.
Yaaah mzee science ila g. P. A ya kinyonge sana, kwahiyo wanasanaa majina yao yatakatwa na wajumbe wa tamisemi. Science tupite bila KUPINGWAAAA
 
Zamani waliajiriwa wote na kubaki wenye supp na mengineyo..... Leo wanaajiri 13000 ambao ni robo au chini ya robo ya wahitimu wa mwaka 2015
 
My two sons, one with maths holder of two degrees and another with diploma, all are teachers and are jobless since wamalize vyuo.

Ngoja nione wasipopata ajira nitajua hilo tangazo ni uongo.

I'll back. Nina hasira so I speak English.
 
Pole sana madame..wakajiajiri sasa

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
My two sons, one with maths holder of two degrees and another with diploma, all are teachers and are jobless since wamalize vyuo.

Ngoja nione wasipopata ajira nitajua hilo tangazo ni uongo.

I'll back. Nina hasira so I speak English.
Mwanamke kila nikikuona nakumbuka kile kisa chako cha kuliwa kimasihara. Halafu najikuta natamani ningekuwa mimi hahaha
 
Kiukweli walimu wa Sanaa tumetengwa sana .sio vizuri hvo Bora mmeyafuta hayo masomo kabsa ikajulikana ..
 
Wengine wanalilia kazi za ualimu
Wengine wanaponda mishahara duni
 
Waalimu tarajali tumuombe Sana MUNGU aseeeh mtaani tuko zaidi ya 80,000 kwa hizi ajira 13,000 sisi watoto wa AFRICAN POOR PEASANT tusio na connection MUNGU atusaidie aseeeh siyo kwa competition hii. MUNGU SIMAMA NASI
Ila ukumbuke kuna shule za Private ambazo zina chukua waalimu wengi karibia kuliko wa Serikali hivyo ajira sio Serikalini peke yake
 
Waalimu tarajali tumuombe Sana MUNGU aseeeh mtaani tuko zaidi ya 80,000 kwa hizi ajira 13,000 sisi watoto wa AFRICAN POOR PEASANT tusio na connection MUNGU atusaidie aseeeh siyo kwa competition hii. MUNGU SIMAMA NASI
Wewe kafanye application acha siasa hizo utajichelewesha
 
My two sons, one with maths holder of two degrees and another with diploma, all are teachers and are jobless since wamalize vyuo.

Ngoja nione wasipopata ajira nitajua hilo tangazo ni uongo.

I'll back. Nina hasira so I speak English.
Endelea kusifia juhudi tu, utajua hujui muda si mrefu.
 
Ukiona kaajir sahiv ujue akitoka kuchimba dawa akirud kweny usukan ni mwendo wa kibati speed 200 bila ajira wala kuongeza mishahara
 
Tangu 2015 mpaka 2020 unafikiri kutakuwa na wahitimu wangapi? Unajua vyuo ni vingapi Tanzania nzima? Hali ni mbaya sana. Wahitimu wote ni zaidi ya kilo 2
Hivyo vi ajira vyake naona kama ni uchafu tu kwangu. Kipindi hiki cha uchaguzi ndiyo anaona kuna muhimu wa ajira? Hivyo vi ajira vyake avipeleke kwa watu wanyonge huko wavigombanie

Daaaaaah

hizi siasaaa kweli aseeeh Kumbe tuko zaidi ya laki mbili hii kitaalamu inaitwa gombania goli 😁
 
Waalimu tarajali tumuombe Sana MUNGU aseeeh mtaani tuko zaidi ya 80,000 kwa hizi ajira 13,000 sisi watoto wa AFRICAN POOR PEASANT tusio na connection MUNGU atusaidie aseeeh siyo kwa competition hii. MUNGU SIMAMA NASI
Hakuna ajira bosi ni siasa tuuuu!!!jiulize why now???
 
Back
Top Bottom