Ajira mpya za ualimu 2016/17 mpaka lini?

Ajira mpya za ualimu 2016/17 mpaka lini?

Kwa mtazamo wangu, nafikiri serikali ingekuwa open toka mwanzo kuwa ajira zitachelewa sana, hivyo vijana wangejua cha kufanya ama kujiajiri au kutafuta tempo, lkn sio kwa hili la karenda.
Si kuchelewa bali hakuna kabisa kwa arts teachers. Jiongeze mkuu
 
We endelea kulialia hapa na kusubiri hizo ajira
Inaonekana wewe ni k.i.l.a.z.a sana ww,,,,,,,,, una unaa sana wewe. Nishafatilia comment zako toka kwa walim wa mwaka jana ilikuwa ni hivihvi, hazina ukweli wowote, hakuna asiejua tabia za wahaya. Unataka kuuaminisha watu kuwa mwaka huu serikali inaajiri walimu wasiofika hata 5,000? Maana kila mwaka graduate wa sayansi huwa hawafiki hata 2,000. Ficha aibu usipotoshe watu. UHAYA HAYA HUO utaolewa.
 
Muda ndo utakuabisha na hizi kauli zako ngoja ufike ndo utajua.
 
kama kada ya JWTZ ni nyeti sana nchini watu wake hawakupelekwa mafunzo Monduli mwaka huu ikiwa tatizo ni pesa je,wewe mwalimu utaajiriwa? mkiambiwa mkaujenge UKUTA mnasuasua subiri mpaka mh.Rais mizuka ikimpanda atatangaza kuwaajiri. kwa lugha nyepesi tu ni kwamba SERIKALI YA awamu ya tano haina mpango wa kuajiri watu wapya kwa mwaka huu na wakati wa kuajiriwa ukifika lazima kutakuwa na GPA maalum ya wewe kuajiriwa na serikali ambayo nayo ni si chini ya 3.8 kwa mujibu wa tetesi kutoka kwa ndalichako,sasa wewe subiri alafu GPA yako below 3.8 au 2 UTAISOMA NAMBA.
#NikoTayariKwaUKUTA sep 1.
unapoint ya maana lakni umeiwasilisha kwa ukakasi sana
 
Muda ndo utakuabisha na hizi kauli zako ngoja ufike ndo utajua.
Katika kiswahili hatuna neno "utakuabisha" ni "utakuaibisha" unashindwa kujua hata kutamka maneno utajua siri za serikali wewe. Kwanza walioko serikalini huwa hawaongei bila kutumia ueledi kama wewe,.!
 
Habari... Nimependa kuuliza kuwa Wahitimu walio maliza 2015 na 16 katika vyuo vya ualimu wataajiriwa link?? Maana serikali yetu haina tamko maalumu,, hivyo mwenye uelewa sahihi tufafanulie kwa uzur jamani.
Thank you

Bado тυnaғanya мcнaĸaтo wa ĸυтaғυтa wanaғυnzι нewa тυмeмalιza waғanyaĸazι нewa....na pιa мвona nyιe walιмυ мnalalaмιĸa ѕana ĸwanι ĸada zιngιne waмeajιrιwa??? anzιѕнa тυιтιon cenтer aυ нaυpo deep υnaogopa υтaĸoѕa wadaυ???? nι pм nιĸυpe ĸazι ya ĸυғanya acнana na мaмвo ya υalιмυ нayo.......нaтυѕнιndwιιιιιιιιιι
 
tunza vyeti itakuja tu ila usisahau kujisomea pale upatapo nafasi au tafuta shule ujitolee usije sahau
 
Back
Top Bottom