Ajira mpya za ualimu 2016/17 mpaka lini?

Habari... Nimependa kuuliza kuwa Wahitimu walio maliza 2015 na 16 katika vyuo vya ualimu wataajiriwa link?? Maana serikali yetu haina tamko maalumu,, hivyo mwenye uelewa sahihi tufafanulie kwa uzur jamani.
Thank you
Hahaha mbona bado sana.
Mliposikia mtaisoma namba mlidhani nini?
 
Waalim mnapenda kulia lia sana ndo maana mnadhalilishwa kila mtu ajira zimesitishwa kwa wote lkn nyie mnalia mnali sasa hv inabid tuwe tunawachapa na viboko na mvae na uniform
 
Habari... Nimependa kuuliza kuwa Wahitimu walio maliza 2015 na 16 katika vyuo vya ualimu wataajiriwa link?? Maana serikali yetu haina tamko maalumu,, hivyo mwenye uelewa sahihi tufafanulie kwa uzur jamani.
Thank you
Ila mim nawaonea huruma watu kama nyinyi mnaodhani kwamba bila ajila hakuna maisha.wenzenu wanaachana na ajila za ualimu wanajiajili kwenye biashara na wanafanikiwa sana. sasa wewe na kutoona mbali unalia lia na ajila ambayo itakutia umasikini wa kudumu,na tena usishangae wewe ni mtoto wa kiume ualimu utakufikisha wapi kama sio kuishia mikopo hadi na mwanamke akakukimbia .da nawaonea huruma sanaaa
 
Tumia akili umeshakuwa mtu mzima.
 
Nasisi tunakuonea huruma wewe kwa karne hii

Ajira unaandika ajila

Ninyi unaandika nyinyi

Wanajiajili unaandika wanajiajiri. Pole sana mkuu.
 
Ila mim nawaonea huruma watu kama nyinyi mnaodhani kwamba bila ajila hakuna maisha.wenzenu wanaachana na ajila za ualimu wanajiajili kwenye biashara na wanafanikiwa sana. sasa wewe na kutoona mbali unalia lia na ajila ambayo itakutia umasikini wa kudumu,na tena usishangae wewe ni mtoto wa kiume ualimu utakufikisha wapi kama sio kuishia mikopo hadi na mwanamke akakukimbia .da nawaonea huruma sanaaa

Wewe tulia wenzio waingie wavute hata mishahara miwili mitatu wapate starting point,hata hao walioacha ualimu nao waliajiriwa kwanza subiri watu wapate mitaji
 
kama kada ya JWTZ ni nyeti sana nchini watu wake hawakupelekwa mafunzo Monduli mwaka huu ikiwa tatizo ni pesa je,wewe mwalimu utaajiriwa? mkiambiwa mkaujenge UKUTA mnasuasua subiri mpaka mh.Rais mizuka ikimpanda atatangaza kuwaajiri. kwa lugha nyepesi tu ni kwamba SERIKALI YA awamu ya tano haina mpango wa kuajiri watu wapya kwa mwaka huu na wakati wa kuajiriwa ukifika lazima kutakuwa na GPA maalum ya wewe kuajiriwa na serikali ambayo nayo ni si chini ya 3.8 kwa mujibu wa tetesi kutoka kwa ndalichako,sasa wewe subiri alafu GPA yako below 3.8 au 2 UTAISOMA NAMBA.
#NikoTayariKwaUKUTA sep 1.
 
Kumbe ni tetesi basi ungenyamaza maana hujui ulisemalo nyie ndo mnafanya serikali ionekani mbaya sa tunaanza na wewe maana inaonekana ni mchochezi
 
Taifa halina kipaumbele Ndugu yangu kwa sasa tunamalizia Uchunguzi hewa wa watumishi hewa tunaingia operation UKUTA. Ajira mtusubirie kwanza Magari ya polisi hayana mafuta, mabomu ya machozi hakuna mtuache tuu tumepagawa sie.
 
kama kada ya JWTZ ni nyeti sana nchini watu wake hawakupelekwa mafunzo Monduli mwaka huu ikiwa tatizo ni pesa je,wewe mwalimu utaajiriwa? mkiambiwa mkaujenge UKUTA mnasuasua subiri mpaka mh.Rais mizuka ikimpanda atatangaza kuwaajiri. kwa lugha nyepesi tu ni kwamba SERIKALI YA awamu ya tano haina mpango wa kuajiri watu wapya kwa mwaka huu na wakati wa kuajiriwa ukifika lazima kutakuwa na GPA maalum ya wewe kuajiriwa na serikali ambayo nayo ni si chini ya 3.8 kwa mujibu wa tetesi kutoka kwa ndalichako,sasa wewe subiri alafu GPA yako below 3.8 au 2 UTAISOMA NAMBA.
#NikoTayariKwaUKUTA sep 1.
kwani huo ukuta unahusu kuishinikiza serikali kutoa ajira? acha uk.i.laza
 
Habari... Nimependa kuuliza kuwa Wahitimu walio maliza 2015 na 16 katika vyuo vya ualimu wataajiriwa link?? Maana serikali yetu haina tamko maalumu,, hivyo mwenye uelewa sahihi tufafanulie kwa uzur jamani.
Thank you
Wabunge Wataka Rais Magufuli Atoe Kibali cha Ajira Kwa Walimu Wapya ili Kukabili Uhaba Wa Walimu Uliopo Hivi sasa

KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa imeomba Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa imuombe Rais atoe kibali cha ajira kwa walimu kukabili uhaba unaoikabili nchi.

Mwenyekiti wa kamati hiyo, Jasson Rweikiza alitoa ushauri huo jana mjini Dodoma kwenye kikao kati ya wajumbe wa kamati hiyo na viongozi na watendaji wa Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa wakiongozwa na Naibu Waziri, Selemani Jafo.

Kikao hicho kilikuwa ni cha kamati kupokea na kujadili taarifa ya tathmini ya utekelezaji wa mpango wa ofisi hiyo wa utoaji elimu bila malipo katika kipindi cha Januari hadi Juni mwaka huu ambako suala la uhaba wa walimu liliibuliwa na wajumbe.

“Walimu waajiriwe...ni vyema mumuone rais, angalau afungulie kibali cha walimu pekee...wanafunzi wanaongezeka mara mbili, lakini walimu hakuna,” alisema Rweikiza.

Awali, akijibu hoja za wajumbe juu ya changamoto ya uhaba wa walimu, hususan wa Sayansi na Hisabati, Jafo alikiri hali hiyo kuikumba serikali na kusema ndiyo maana walilenga kutoa ajira 35,000 kabla ya rais kusimamisha vibali vya ajira kwa watumishi wote.

Hata hivyo, alisema uamuzi wa Rais ni wa nia njema kuwezesha uhakiki wa watumishi hewa.

Alisema katika kauli ya hivi karibuni ya Rais John Magufuli, alisema wakati wowote kibali kitatolewa.

Jafo alisisitiza kuwa kibali kitakapotolewa, kipaumbele itakuwa ni ajira kwa walimu wa Sayansi ya Hisabati.

Akielezea namna ya kuziba mapengo ya walimu wa masomo hayo, Jafo alisema serikali itafikiria pia watu wengine wanaoweza kufaa katika kufundisha masomo hayo wakiwemo walimu wastaafu na wahitimu wa fani nyingine.
 
Kwa mtazamo wangu, nafikiri serikali ingekuwa open toka mwanzo kuwa ajira zitachelewa sana, hivyo vijana wangejua cha kufanya ama kujiajiri au kutafuta tempo, lkn sio kwa hili la karenda.
 
Back
Top Bottom