- Thread starter
- #21
Ni miongon mwa kada zisizo ajiriwahivi walimu ni kada pekee ambao hawaajiriwa??
Ni miongon mwa kada zisizo ajiriwahivi walimu ni kada pekee ambao hawaajiriwa??
We jamaa unasaikolojia ya kuzaliwa sio mama wengine wanao ikeshea.. Kati ya wote wewe nimekupata uzuri sanaa. Nashukuru sanaUsihofu zitatoka tu mvumilivu hula mbivu na puuzia comment za watu wanaokatisha wenzao tamaa muda ukifika zitatoka tu
ukajiajiri wapi,,,unaropoka tuNendeni mkajiajiri.
Mkuu matamko yatolewayo kwa sasa ni kuhusu kuwasilens wapinzani na kuhusu ajiraaaaaaa bado serikali haijanunua periscope ili kuchuja wahitimu hewaKabisa, hata mimi ni mhanga nimemaliza mwaka huu, nasikia tutaajiriwa wote, lakini wapo kimya sana. Hebu waseme ni lini wanatuajiri!? Kama hazipo napo waseme tu.

Mkuu unapigilia msumari wa moto kwenye kidonda.Nyi mliomaliza mwaka jana tutawaajiri mwaka kesho waliomaliza mwaka huu tutawaajiri mwaka keshokutwa,bajeti yenu ya kuwaajiri tumeamua tuitumie kuhamia dodoma
Njoo nikuajiri ila uwe KE.ukajiajiri wapi,,,unaropoka tu
wewe unakitwa backNjoo nikuajiri ila uwe KE.
Ofisi inahitaji girl tu.
Una akili ndogo sanaujinga mtupu!jiajiri ww acha kulialia hovyo
Habari... Nimependa kuuliza kuwa Wahitimu walio maliza 2015 na 16 katika vyuo vya ualimu wataajiriwa link?? Maana serikali yetu haina tamko maalumu,, hivyo mwenye uelewa sahihi tufafanulie kwa uzur jamani.
Thank you
Amesema unaisha lini?Kairuki katangaza Leo uhakiki haujaisha,naona hadi mwakani,Dah inabidi walimu tarajali muishi kwa matumaini