Ajira mpya za ualimu 2016/17 mpaka lini?

Jayffa

Member
Joined
Sep 5, 2014
Posts
81
Reaction score
5
Habari... Nimependa kuuliza kuwa Wahitimu walio maliza 2015 na 16 katika vyuo vya ualimu wataajiriwa link?? Maana serikali yetu haina tamko maalumu,, hivyo mwenye uelewa sahihi tufafanulie kwa uzur jamani.
Thank you
 
Kabisa, hata mimi ni mhanga nimemaliza mwaka huu, nasikia tutaajiriwa wote, lakini wapo kimya sana. Hebu waseme ni lini wanatuajiri!? Kama hazipo napo waseme tu.
 
Ndo maana ake maana hatuelew mpaka tuwe mapushaa
 
wamesahaau kuwa waliwasubilisha na kama unavyojua serikali yetu ni sahaulifu sana,so cha msingi apo ni kutoa tamko lenu au andamaneni
 
Upo sahihi kwa mujibu wa mawazo yako. Hongera mkuu
 
Habari... Nimependa kuuliza kuwa Wahitimu walio maliza 2015 na 16 katika vyuo vya ualimu wataajiriwa link?? Maana serikali yetu haina tamko maalumu,, hivyo mwenye uelewa sahihi tufafanulie kwa uzur jamani.
Thank you
Programme yako ni BAED au BScED.
Kama ni BAED fungua hata banda la chips,ila kama ni BScED bado kidogo utaingia kwenye ajira.
 
Habari... Nimependa kuuliza kuwa Wahitimu walio maliza 2015 na 16 katika vyuo vya ualimu wataajiriwa link?? Maana serikali yetu haina tamko maalumu,, hivyo mwenye uelewa sahihi tufafanulie kwa uzur jamani.
Thank you
Nyi mliomaliza mwaka jana tutawaajiri mwaka kesho waliomaliza mwaka huu tutawaajiri mwaka keshokutwa,bajeti yenu ya kuwaajiri tumeamua tuitumie kuhamia dodoma
 
Mh! alisema baada ya mwez 1 na nusu au 2 ajira zitakuwa zimeruhusiwa. Ngoja tusubiri mwez huu wa 8
 
Usihofu zitatoka tu mvumilivu hula mbivu na puuzia comment za watu wanaokatisha wenzao tamaa muda ukifika zitatoka tu
 
Back
Top Bottom