picha tunaweka sehemu gani wakuu
picha tunaweka sehemu gani wakuu?
Kuhusu picha usiwe na shaka usiweke mahal popote, tuliongea na n customer care wa tra wakasema kwasasa tunaweza tukaacha kuweka picha hadi hapo badae watakapo weka hiyo option ya picha kwa sasa kamilisha taarifa zote muhim