Ajira mpya serikalini

Kama huna 500 uza hyo cm au pc unayotumia kuingia humu jf then anzisha kijibiashara kitakuinua
 
Kuna baadhi ya watu niliwaambia kuwa msitegemee ajira hivi karibuni wakanibishia.

Mkuu uhakika wa ajira tegemea 2019 karibu na uchaguzi mtaajiriwa wengi sana ili kusaidia uchaguzi ila ukipata uombe sana Mungu ziwe za permanent kwasababu hii serikali unaweza ajiriwa leo baada ya mwaka ikasema haikutambui.
 
mkuu tafta hata private sector angalau ujishkize kwa sasa bila ivy 500 lazima ikushinde
 
Hakuna ajira.

Zile ni kama nyimbo za kimbebelezea mtoto alale.

Watazunguka mwisho watasema ukweli kama walimu wa sanaa.

Ni aibu kwa serikali kudanganya wananchi wake.

msomi mzima unashindwa hata kupata 500 ?? kwa siku hata kuajiriwa ufai huna ubunifu utatia hasara tu serikali

Hayo maneno unaongea huku umekaa kwenye kiti cha mwaka 1960 Upo kwenye ofisi ya mtendaji wa kijiji na wanakijiji wanakutegemea wewe ndio afisa mtendaji wa kijiji.
 
msomi mzima unashindwa hata kupata 500 ?? kwa siku hata kuajiriwa ufai huna ubunifu utatia hasara tu serikali
Angalia mafanikio yako yalikuajee...wakati unaanza....
Km ulpata mteremko kaa kimyaa tuu kaka dharau hazifai
 
Hayo maneno unaongea huku umekaa kwenye kiti cha mwaka 1960 Upo kwenye ofisi ya mtendaji wa kijiji na wanakijiji wanakutegemea wewe ndio afisa mtendaji wa kijiji.
Vzr sn mr j....haelew huyoooo chochote
 
Hakuna ajira.

Zile ni kama nyimbo za kimbebelezea mtoto alale.

Watazunguka mwisho watasema ukweli kama walimu wa sanaa.

Ni aibu kwa serikali kudanganya wananchi wake.
Aibu kubwaaa na itawacost mbelen
 
Unaona mbali aseee
 
hizi ajira 9932, ni zile ambazo zilikuwa pendingi, kwa maana walipata barua kutoka secretariate ya ajira, lakini hawakuwa na check #, wala applicant #, hivyo, kuna tamko limetoka utumishi, kuwa waajiliwe na ajira zao zinaanza rasm tarhe 1 june 2017, kimsingi mtoa maada na mimi nimiongon mwa waajiriwa wapya ambao imenichukua takribani mwaka mmoja mpka kunufaika na maelekezo hayo ya june mos
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…