Plato
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 420
- 94
Leo ni zamu ya wizara ya kazi na ajira.nauliza ajira mpya za serikali zinatoka lini? Hasa kwa walimu waliomaliza vyuo vikuu karibuni.mana ilisemwa hela imeshapitishwa.na ilisemwa wangepangwa wakiwa vyuoni bado.sasa vijana wanaanza kwenda shule za private,halafu serikali itaanza kulia haina walimu.wajue inaumiza kijana kumaliza kazi akakaa miezi lukuki eti anasubiri ajira,wakati kuna private na zinalipa vizuri