Ajira Mpya Kutangazwa na Meya wa Kinondoni Kupitia CHADEMA/UKAWA

Zapa RadioFm

Senior Member
Feb 12, 2016
112
171
Ajira mpya zitatangazwa soon, safari hii ni kwa wanamuziki wote,ambao wamekosa fulsa ya kurekodi,"watapata free recordings" Kinondoni Municipal, na hii ni moja ya studio, MAZUU RECORDS (mabibo Loyola) imekubali kupokea vijana wangu.
Tumemaliza makubaliano na producer Mazuu"

Boniface Jacob
Meya wa Kinondoni-Ukawa
IMG-20160330-WA0043.jpg
 
MEYA, tupo vijana wenye elimu zetu, tunasubiri kazi ndani ya wilaya ,mpya, ubungo na kigamboni msituletee upuuz wa wabana pua wakati tumejikunja darasani ajira gani hizo za kuleta umu kwwa watu makini km wanafj?
 
ndo kakabiziwa ofisi.....hahahah..anawaza recording za bure ......ama kweli...lakini hamna namna ..bora Hiyo kuliko viroba!
 
Kuchagua kiongozi wa kukuwalikisha ni kazi kubwa sana, Mara nyingi huwa si ya ushabiki na hapo ndio tunapokosea wengi
 
Nimekuja mbio nikijua ni ajira za maana..
Ase kweli we ni silly 100% , Aiyola ana nyimbo 2 tu, we uliyeajiriwa mapato yako kwa mwaka hayafiki ata 24m, iyo ni pesa ya show 3! Hatujaongelea diamond ambaye ni ambassador na show yake moja kwa tetesi nlisikaga ni 30m/ one night!
 
MEYA, tupo vijana wenye elimu zetu, tunasubiri kazi ndani ya wilaya ,mpya, ubungo na kigamboni msituletee upuuz wa wabana pua wakati tumejikunja darasani ajira gani hizo za kuleta umu kwwa watu makini km wanafj?
Meya huyo hatoi ajira ana wadanganya!
 
Ase kweli we ni silly 100% , Aiyola ana nyimbo 2 tu, we uliyeajiriwa mapato yako kwa mwaka hayafiki ata 24m, iyo ni pesa ya show 3! Hatujaongelea diamond ambaye ni ambassador na show yake moja kwa tetesi nlisikaga ni 30m/ one night!

Cc sily, sifi leo
 
MEYA, tupo vijana wenye elimu zetu, tunasubiri kazi ndani ya wilaya ,mpya, ubungo na kigamboni msituletee upuuz wa wabana pua wakati tumejikunja darasani ajira gani hizo za kuleta umu kwwa watu makini km wanafj?
hahaaaa wenzako hawapo serious hao..wanatafuta kick tu
 
MEYA, tupo vijana wenye elimu zetu, tunasubiri kazi ndani ya wilaya ,mpya, ubungo na kigamboni msituletee upuuz wa wabana pua wakati tumejikunja darasani ajira gani hizo za kuleta umu kwwa watu makini km wanafj?

wanaFJ? we endelea kusubiri
 
Back
Top Bottom