AY 5225
JF-Expert Member
- Jul 16, 2023
- 542
- 1,243
Dooh! kutoka kwenye familia za hali ya chini kunatuponza sana.Tuliopo.kigoma wenyew tupo tu maan bila kuwa na watu mara nyingi utaishia kutuma maombi
Then inakuja automat email reply haumo
Dooh! kutoka kwenye familia za hali ya chini kunatuponza sana.Tuliopo.kigoma wenyew tupo tu maan bila kuwa na watu mara nyingi utaishia kutuma maombi
Then inakuja automat email reply haumo
Hivi ni mm naona kujitolea imekuwa tabu kama kuomba kazi a
Kabisa mkuu. Yaani me toka nime'graduate mwaka jana, nimekua na'fight nipate internship tu ila it's almost a year now sijapata. Hii corporate ladder imeanza kunishinda kuipanda kwa kweli.Hivi ni mm naona kujitolea imekuwa tabu kama kuomba kazi ama?
Hapo kwenye wazazi wetu bro kazia inauma sanaKabisa mkuu. Yaani me toka nime'graduate mwaka jana, nimekua na'fight nipate internship tu ila it's almost a year now sijapata. Hii corporate ladder imeanza kunishinda kuipanda kwa kweli.
Hakuna taasisi wanataka freshers, they want us to touch down running ila cha ajabu hata tukiomba ku'volunteer tu bado hawatutaki. Kadri tunavyochelewa kuajiriwa ndo itazidi kuwa ngumu.
Kazi za vibarua nazo ni utumwa mtupu, yaani seriously mtu afanye kazi kwa masaa 10 kisha umlipe 5,000/= !!!!! Nimewaona mpaka wazazi wetu kabisa, nimeumia sana.
Ha
Hapo kwenye wazazi wetu bro kazia inauma sana
Ni shida tupu tunaamua kitafuta mkate wa siku ila.tunayokutana nayo hapanaaYaani acha tu. Serikali iangalie hiyo sheria yake kuhusu vibarua viwandani, yanayoendelea kule ni utumwa.
Tuendelee kukomaa mkuu.Kabisa mkuu. Yaani me toka nime'graduate mwaka jana, nimekua na'fight nipate internship tu ila it's almost a year now sijapata. Hii corporate ladder imeanza kunishinda kuipanda kwa kweli.
Hakuna taasisi wanataka freshers, they want us to touch down running ila cha ajabu hata tukiomba ku'volunteer tu bado hawatutaki. Kadri tunavyochelewa kuajiriwa ndo itazidi kuwa ngumu.
Kazi za vibarua nazo ni utumwa mtupu, yaani seriously mtu afanye kazi kwa masaa 10 kisha umlipe 5,000/= !!!!! Nimewaona mpaka wazazi wetu kabisa, nimeumia sana.
Tuendelee kukomaa mkuu.
Sehemu gani ulikuwa unapiga kibarua ukaona wazee wetu??
Nasikia viwandan ni noma jamaa angu anapiga kaz kiwanda cha A to Z masaa 10+ wanalipwa 4600/= sawa na 140k kwa mwez alafu ni Arusha aisee waliosoma sasa ni laki 2.
Ila wahind sio watu.
Ni shida tupu tunaamua kitafuta mkate wa siku ila.tunayokutana nayo hapanaa
Mishe gan?Twendeni Zanzibar tukapigike.
Mishe gan?
Jiajiri pekee yako au ikishindikana nenda VETA katafute ujuzi(knowledge)