Ajira kwenye mashirika ya wakimbizi

Ajira kwenye mashirika ya wakimbizi

Mabumbe blog madame nazionaga mara kwa mara, uwe tu tayari kwenda Kigoma maana ndo hub.
Tuliopo.kigoma wenyew tupo tu maan bila kuwa na watu mara nyingi utaishia kutuma maombi
Then inakuja automat email reply haumo
 
Kwa sasa mashirika mengi ya kuhudumia wakimbizi yanapitia ukata wa hali ya juu sana (bajeti imepunguzwa kwa 30%).

At the end of this September patatokea retrenchment ya wafanyakazi pamoja na project/operations mbalimbali.
Hii kitu amenambia mtu wa karibu sana kwangu huko kwenye kuhangaika, nikajua fix zake kumbe ni ukweli, ndio maan now post za kazi hakuna na baadhi wanapungz wafanyakazi
 
IRC unajitolea hata kesho kigoma peleka barua hq pale mikocheni. Ila utaenda na nauli yako utakula kwa hela zako na kila kitu ni wew mwenyew. Uwe totally philanthropist 😅
Sipo dar nipo kigoma, so.kupeleka baruda huko ni taabu..hawajali volunteers wao sio?
 
Utakula nyassssss. Watumike email mana NGos kwa email ni very sensitive mana ndo njian yao kuu ya mawasiliano. Anzia linked in mana huko ndiko yalipojichimbia. Na hao wanaolike like taasisi huko linked in wengi ndio wafanyakazi wake
 
Kwahiy kaka 😂😂 ww ushapitia hapo maan hio kula nyasi ulivoiandika dah😂😂
 
Hapana. Mm sijawahi hata kujitolea international rescue committee. Mm Niko kariakoo napiga uwinga tu mkono uende kinywani.
Lakin kwa NGos ngazi ya volunteer na CHW huwa na Hali mbaya... Niliwahi kupeleka barua kuomba kufanya field hapo miaka kadhaa iliyopita. Kwa nn usiwekeze kwenye innovation?
 
Najaribu tu kaka maan ndo nimetoma school.kichwa ya moto bado
 
Hapana. Mm sijawahi hata kujitolea international rescue committee. Mm Niko kariakoo napiga uwinga tu mkono uende kinywani.
Lakin kwa NGos ngazi ya volunteer na CHW huwa na Hali mbaya... Niliwahi kupeleka barua kuomba kufanya field hapo miaka kadhaa iliyopita. Kwa nn usiwekeze kwenye innovation?
Innovation kama zipi mkuu
 
Innovation kama zipi mkuu
Can you propose ways which is fruitfull in deliver health service in rural areas?
Rural areas challenged by remoteness and scattered settlement. This go hand in hand with residents run along distance to find a primary health care. Then how to make genuine, relevant and cost effective way in Maintaining supply of health service to certain?
 
Kaka hiyo ni Research + project planning as well
Inahitaj muda sana
 
Innovation kama zipi mkuu
How to make them informed about the ongoing development policy interms of inclusion and settle scale?.

What you can do to influence, if there are people who SEEMS not ready to uptake HIV test?
 
Kaka hiyo ni Research + project planning as well
Inahitaj muda sana
You can adopt!. Hizo ndo fursa saasa. Kile ambacho hakiwezekan au kigumu watu ndo wanatoboa na kutafutwa sana. Alibaba ilikuwaga stori tu..

Vijana wanasahau angle hizo. Mm hata nkichoka umachinga kariakoo mtaani kwa miaka miwli nitapat kaajira tu mana nitaumiza kichwa usiku na mchana kutafuta suluhu za gepu kam hizi
 
Back
Top Bottom