Ajira Jeshi la polisi

Ajira Jeshi la polisi

kaka sehem ganj huwa tuna attach medical form msaada
Kaka hamna hiyo sehem, vitu vya kuatach ni vyeti vya taaluma, barua ya maombi, CV kwa wataalam (Kuanzia cerificate mpaka degree holders ), passport size na Cheti cha jkt ambacho ni optional kwa mwenye nacho
 
Mimi sijafanikiwa hata ku create account ila huwa Kuna mahali pameandikwa other attachments.
 
Back
Top Bottom