Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 27,423
- 54,876
Pasport uki aplod pale kwenye box si inaonesha ile name ya picha yako au....M
Passport nikiupload haionikani ila haionyeshi pia kama imefeli
Itaonekana baada ya update mbele kule
Pasport uki aplod pale kwenye box si inaonesha ile name ya picha yako au....M
Passport nikiupload haionikani ila haionyeshi pia kama imefeli
Haionyeshi kama umeapload kila ukiingia profile unakuta vilevile upload passport. Pia nimetumia leaving badala ya cheti na sijajua kama nayo ni fact. Poor BrainPasport uki aplod pale kwenye box si inaonesha ile name ya picha yako au....
Itaonekana baada ya update mbele kule
Unatumia pc au simu...Haionyeshi kama umeapload kila ukiingia profile unakuta vilevile upload passport. Pia nimetumia leaving badala ya cheti na sijajua kama nayo ni fact. Poor Brain
Phone tecno spark 4Unatumia pc au simu...
Mmmh hapo kidogo kutakua na shida mkuu mana kuna batan hapo kuonekana huwa zinasumbua...Phone tecno spark 4
Nakutumia details zangu nami nina same problemMmmh hapo kidogo kutakua na shida mkuu mana kuna batan hapo kuonekana huwa zinasumbua...
Pia kwa simu inakuaga na shida kiasi tofauti na pc ni 15 dakika unakua ushanaliza ety..
Solution hapo fanya ufanyie kwa pc au kama pc changamoto basi nikufanyie mana nahisi usamhamaliz kila kitu ni vtu vichache tu
Sawa mkuu njo dm nikupe emailNakutumia details zangu nami nina same problem
Punguza size ya baruaPoor Brain kwenye kuapload barua inakuja failed to proccess application. Msaada please nakwama wapi?
Hakuna sehemu hiyoNi sehem gan tuna attach cheti cha kuzaliwa
Ngoja tuwasubiri wajuzi wa mambo waje tuambiaVip wadau uko makao makuu nini kinaendelea Kwa yeyote mwenye kufaham sio mbaya akaja na chochote kitu![]()
Usiwe na haraka dogo. Muda ukifika kila kitu kitakaa sawa.Vip wadau uko makao makuu nini kinaendelea Kwa yeyote mwenye kufaham sio mbaya akaja na chochote kitu🤔
Kua na subira, majina yanachakatwaVip wadau uko makao makuu nini kinaendelea Kwa yeyote mwenye kufaham sio mbaya akaja na chochote kitu![]()
Pa1Kua na subira, majina yanachakatwa