moshi mkuu
Member
- May 14, 2024
- 36
- 26
He tena 😅🙌 sasa kama wew ni jirani na mtandao unasumbua sisi watu kutoka mataiga ya bukoba tusemeje😅😳😅Nipo dodoma tena jiran kabisa na Makao makuu ya jeshi la polisi lakin mtandao unasumbua sana kama sehem zingine