Ajira Jeshi la polisi

Ajira Jeshi la polisi

Interview lini ukishatuma Mkuu.
Maelezo yote yapo kwenye tovuti ya Police (website ya ajira Police tz) check hizi screen shots (azipo kimpangilio )hope zitakusaidia all the Best Mungu akusimamie🙏
 
Attachments

  • IMG_9993.jpeg
    IMG_9993.jpeg
    177.5 KB · Views: 28
  • IMG_9994.jpeg
    IMG_9994.jpeg
    99.3 KB · Views: 29
  • IMG_9997.jpeg
    IMG_9997.jpeg
    140 KB · Views: 26
  • IMG_9996.jpeg
    IMG_9996.jpeg
    156.7 KB · Views: 23
  • IMG_9995.jpeg
    IMG_9995.jpeg
    117.9 KB · Views: 28
  • IMG_9998.jpeg
    IMG_9998.jpeg
    118.5 KB · Views: 27
  • IMG_9999.jpeg
    IMG_9999.jpeg
    100.1 KB · Views: 25
  • IMG_0001.jpeg
    IMG_0001.jpeg
    165.2 KB · Views: 28
Hivi wakuu hizi nafasi zilizotangazwa ni hadi uwe umepitia mafunzo ya JKT?
 
Hivi wakuu hizi nafasi zilizotangazwa ni hadi uwe umepitia mafunzo ya JKT?
Muwe mnasoma matangazo wakuu, tangazo kama umelisoma linaeleza kabsa hakuna sehem wanataka cheti cha jkt, means wamekitoa japo kweny mfumo wao wa kuomba kuna sehem ya kukijaza kama other qualifications
 
Tangu walivyotangaz hizo ajira sijaon hat mar moja kufunguk . Vp wew iliwez kufunguk
 
nimejaribu kwa simu imekataa nikaja kutumia laptop pia imegoma sas sijui inakuwaje sas na siku zimebaki 5
 
nimejaribu kwa simu imekataa nikaja kutumia laptop pia imegoma sas sijui inakuwaje sas na siku zimebaki 5
Endelea kukomaa nao mkuu utakubali, mtandao wao unawatumiaji wengi saivi kwahyo keep trying utakubali tuu
 
habari zenu jamani,naomba kuuliza nimeona wale walioshia form 4 mwisho point 28,je nikawa na point 29 je nawza kuomba ama nipotezee tu kuomba
 
habari zenu jamani,naomba kuuliza nimeona wale walioshia form 4 mwisho point 28,je nikawa na point 29 je nawza kuomba ama nipotezee tu kuomba
sasa mkuu wewe umeambiwa mwisho point 28 na ww una 29 unataka uombe huoni kama kgezo kinakuengua mzee wangu
 
pita kushoto fanya kama hujaliona ilo tangazo la polis
 
Back
Top Bottom