Darvis Wantana
Member
- Feb 8, 2024
- 19
- 8
- Thread starter
- #41
Mtandao unasumbua sana mzee
MkuuMtandao unasumbua sana mzee
Darvis,Kwanin tena
Ooh dah!! Sasa kwa ambao tupo vijijini inamaana tusifanye application??
Alafu Dodoma mtandao ndio hausumbui?
Hapa kaka kama kuna ukweli hvi maana mim nimefanyia application Dom, japokuwa nlihangaika kuanzia sa11 jioni mpk sa10 asbh ila ilikubali.Darvis,
Mimi ndugu yangu alishakwenda moja kwa moja Dodoma. Wanasema ukienda kuombea Kule kidogo kuna afadhali.
Lakini pia maombi ni mengi kama kuna mtu unayefahamiana naye jaribu kumtumia ili jina lako aliweke pembeni kabisa kwa urahisi wa wewe kupita na kuendelea nafasi za mbele.
Kwa kiasi fulani kama unapenda nafasi hii, sehemu ngumu ni kupitishwa jina, ila jina lako likishapitishwa basi kama kweli umedhamiria wewe una nafasi kubwa ya kupata kazi.
Vijana wengi wanaopitishwa huwa wametoka familia za kipolisi au wana watu wanaowasimamia wapite. Wakifika kule kwenda kupambana na kukomaa ili wamalize mafunzo wengi hushindwa na kuanza malalamiko.
Hivyo wanaotoboaga ni vijana ambao anajua kabisa sina sehemu ya kushika hata nikirudi nyumbani. Hivyo anapambana kufa na kupona.
Kama ungekuwa na nauli ungepanda basi chapu ukaenda huko huko. Maana mtandao upo down takribani siku ya 3 sasa.
Nilikuwa naongea na jirani yangu ananiambia kakuta watoto wakike kwa wakiume wapi stationary mpaka saa Saba za usiku wakitegea mtandao ukae sawa lakini bado hawajafanikiwa.
Pambana mkuu au jaribu kuongea na mtu kama unaye yupo dodoma.
Kuna watu kabla ya kuandika majina wanaambiwa Embu nitumie majina yako matatu. Hao ni lazima wapitishwe
Endelea kupambana mkuu
Nasikia saivi umekaa saw
Dodoma huku... Hamna kitu ka hichoDarvis,

Kivip mkuuDodoma huku... Hamna kitu ka hicho
Mkuu huu mtandao unakufanya kama upo kozi sasa wakati sisi bado ni raiakama hawataki watu wametangaza ajira za nn sas😳
Watumie maombi kwa njia ya posta EMSMbn kwangu naon bado au umeskia vby maan mitaa hapa hamn kitu kbsa watu ad wanafika 100 wamekaa cafe moja wanasubir mtandao tu
Vijana hadi hawali wanaona wakiondok wanawez pishan na mtandano na ikawa shida
Haya mambo yanafanyika online tu.. sio manual....Kivip mkuu
Nipo dodoma tena jiran kabisa na Makao makuu ya jeshi la polisi lakin mtandao unasumbua sana kama sehem zingineOoh dah!! Sasa kwa ambao tupo vijijini inamaana tusifanye application??
Alafu Dodoma mtandao ndio hausumbui?