Ajira hazilipi

Ajira hazilipi

Huu mfano ni wa mtu anayepokea 1 Mil. Vp kuhusu waalimu, mapolisi nk?!
 
Nimekusoma sana mkuu

Nina eneo la ekari mbili segerea kama km moja kutoka gerezani, wazo la Godown litalipa kwa hiyo location?

Je ni baada ya kanisa RC pale mwisho wa lami kama unaenda Kifuru?

Yale maeneo ni makazi mapya, kuwahi mapema kuwazoesha watu kujua huduma bora zinapatikana wapi ni muhimu, unaweza kufungua godown dogo la vyakula kama Tandika vile, na watu wakageuza mwelekeo wa kwenda Tandika. Depot ya kinywaji kikali iko pale Kinyerezi njia panda kama unaenda Majumba sita kushoto. Sijaona Depot ya nguvu ya saruji mitaa ile.
 
Hapana,Ukitoka segerea mwisho kwenye kituo Cha daladala kama unaenda kinyerezi kuna kamlima unapanda,Ukiwa unaanza kupanda kulia kuna Njia Ya kwenda gereza la segerea. Unaifuata hiyo njia.

Sijafika muda Kidogo sababu ya mihangaiko ila nataka niende kusoma mchezo mwezi ujao ili nijue patanitoa vipi. Nilifikiria hilo wazo la vinjwaji vya jumla kumbe tayari kuna mtu amesha kamata fursa
 
Ni njia ya kwenda Bonyokwa. Tafuta ujue mipango ya magereza pale ikoje.
 
Back
Top Bottom