Ajikata uume kisa urijali

Maamuzi ya Juma ni ya kukurupuka, ya kitoto na hayana mashiko hata kidogo. Uume unatusaidia pia kwenye kutoa uchafu mwilini kupitia haja ndogo!
Sasa anapo amua kuukata, kwa kisingizio tu cha kutosimama baada ya kupata ajali!

anatarajia sasa kukojoa kwa kutumia nini? Kama ameshindwa kumtimizia huyo mke wake mahitaji muhimu ya ndoa, si angekubali tu matokeo kwa kuachana naye! Watoto tayari anao watatu! Shida iko wapi? Ulemavu wa kujitakia kabisa huu!
 
Nimemhurumia sana

Stress na kuzungukwa na watu wasio sahihi ni mbaya mnoo

Naamini kabisa watu au mtu wake wa karibu ndio chanzo cha yote hayo

Hivi ukiwa na mahusiano halafu mwenzio akavunjika mgongo mahusiano yanaendelea au ndio hivyo tena👐👐👐
Upo sahihi! Ni manyanyaso toka kwa mke wake
 
Ukikumbuka ile kitu ilivyo taam, akaona isiwe shida bora afe tu kuliko kuwa anaikula kwa macho.
 
Sasa uume una shida gani jamani?

Angekata kiuno tu.


Omba Mungu akupe maarifa ya kutambua kuwa uume siyo kwa ajili ya kugegeda.

Akili za Wagogo ni fupi sana, kama yule jamaa MC
Mkuu hii habari inasikitisha lakini ujumbe wako umenifanya nicheke sana🤣
🤣
 
Na ikitokea alikua anautumia vibaya na kumnyima mke raha hapo ndio pagumu zaidi
Obvious mwanamke anamsimanga kuwa yapo wapi sasa hata k unaiona kwa macho tu. Na hao ulokuwa unatamba nao wenzako wanaendelea kiroho safi wakati yako haisimami…
 
Mkazi wa Kijiji cha Itolwa wilayani Chemba mkoani Dodoma, Juma Juma (34) amefariki dunia baada ya kuukata uume wake.

Inadaiwa kuwa Juma amefikia uamuzi huo wa kuukata uume wake baada ya kupata ajali na kuteguka kiuno na kusababisha asiwe rijali.

Akizungumzia juu ya tukio hilo Mwenyekiti wa kijiji hicho, Daudi Ally amesema leo Jumatatu Novemba 22, 2021 Juma amefariki baada ya kupungukiwa maji pamoja na damu.

Marehemu ameacha mjane mmoja na watoto watatu
 
Sasa uume una shida gani jamani?

Angekata kiuno tu.

Omba Mungu akupe maarifa ya kutambua kuwa uume siyo kwa ajili ya kugegeda.

Akili za Wagogo ni fupi sana, kama yule jamaa MC
Sasa uume haufanyi kazi atakataje kiuno?
 
Usiseme hivyo omba MUNGU akulinde.
Huyo tayari ana mke na watoto.
Unajua mkewe anataka Nini?
hapo mke ameshaomba alafu jamaa kashindwa kupeleka Moto .kinachofuata NI dharau na kugongewa
Acha tu
Hiyo bado sio sababu yakujizuru.sasa akifa ndo huyo mwanamke hatagongwa?.Si bora angekuwepo akalea watoto kuliko kuwaza ujinga.Na isitoshe alijuaje kama hatakuja kupona.
 
Hakuna kitu kinaudhi kama ukutane na mbususu mubashara halafu mnara hausomi, inakera sana, unaweza kujidhuru
 
Mimi nikimpata mganga wa kweli wa kuutoa ulijari wangu ili nipate pesa mpaka siku naenda kaburini niko tiari...sio siri umasikini unatia fedheha sana kuliko kutokuwa lijari😏😏😣
 
Back
Top Bottom