urijali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. AbuuMaryam

    Mwanaume kupiga bao nyingi kwa tendo moja nayo ni dhana potofu

    Hii ni dhana potofu na ni tatizo. Yaani mwanaume unaenda bao 3, 4 au 6 halafu mkeo ana bao 1 tu au hajapata kabisa, hilo ni tatizo rafiki zangu. Mwanaume mwenye nguvu (rijali) hasifiki kwa idadi ya bao anazopiga yeye, abadani, anasifika kwa muda anaotumia kutoka bao moja kwenda jingine, hiyo ni...
  2. bahati93

    Je, maziwa ya unga yanasababisha kupungukiwa nguvu za kiume?

    Wanajamii habari Kabla ya yote kama una NIDO, COWBELL au diary products yoyote hapo maskani kwako, tafadhali nenda katupe, Acha kunywa kama unakunywa, kama umeshakunywa tayare nenda katapike jitapishe. Hizi products za maziwa ya unga unga au ngombe wa kisasa ukinywa kwa mfululizo zinasababisha...
  3. figganigga

    Ajikata uume kisa urijali

    Chemba. Mkazi wa Kijiji cha Itolwa wilayani Chemba Mkoani Dodoma, Juma Juma (34) amelazwa katika kituo cha Afya cha Hamai wilayani Chemba akiwa hoi baada ya kujikata uume wake. Inadaiwa kuwa Juma amefikia uamuzi huo baada ya kupata ajali na kuteguka kiuno na kusababisha asiwe rijali...
  4. Frumence M Kyauke

    Mwanaume mmoja amechukua uamuzi wa kukata uume wake baada ya kukosa urijali

    Mkazi wa Kijiji cha Itolwa wilayani Chemba Mkoani Dodoma, Juma Juma (34) amelazwa katika kituo cha Afya cha Hamai wilayani Chemba akiwa hoi baada ya kujikata uume wake. Inadaiwa kuwa Juma amefikia uamuzi huo baada ya kupata ajali na kuteguke kiuno na kusababisha asiwe rijali. Akizungumzia...
  5. themagnificient

    Urijali kwa Mwanaume ni Utajiri pia ulinde sana usiupoteze

    Kuna matajiri wakubwa wanahaha kwenye nyumba za waganga na wauzaji wa madawa ya kienyeji kusaka nguvu za kiume, wanamwaga hadi mamilioni wakipewa madawa ya uwongo na ukweli lakini wapi bado ni kulio tu. Wote tumeshuhudia hapa wazee matajiri wakifia guest mikononi mwa mabinti sababu ya kumeza...
Back
Top Bottom