Ajenda mpya 2017 kusambaza damu yangu ulimwenguni

JITU LA MIRABA MINNE

JF-Expert Member
Mar 28, 2015
726
475
Katika mwendelezo wa ndoto na Leo nimelala nikaota kuwa natakiwa kusambaza damu yangu duniani na kutengeneza dunia yangu kwa kusambaza damu yangu ulimwenguni kwanza nianze na Tanzania kuanzia sasa nitafute bint wa kabila 120 wa Tanzania ili nianzishe mahusiano nao hatimae tuzae jumla nitakua na watoto 120 ambapo nao wakikua wataanzisha familia baada ya miaka kadhaa watajazana ulimwenguni
Ukiachana na hili ndoto hio imeniambia kuwa natakiwa niangalie ramani ya dunia niangalie nchi zipo ngapi kisha nitafute kila bint wa nchi hio nianzishe nae familia ikiwezekana nitizame nchi na kabila zake zote mf kama dunia inanchi 50 na kabila 3000 basi nitakua na watoto 3000+120 Kabila za TZ baadae jumla 3120 ambapo nitakua na watoto idadi hio na watoto hao wakikua na kuzaa kuna uwezekano kujaa uwanja wa mpira wa dsm nikiwakusanya wote hii ndoto imenisumbua wiki sasa Jitu sambaza damu yako,jitu sambaza damu yako ulimwenguni lakini je nitawaleaje usawa huu nikizaa na foreigners sawa uhakika lakin hawa wa mlo mmoja ikipita siku tunasema oooh afadhali imepita si watanipurura na vihela vyangu vya mboga za majani

Kuanzia ndoto ilipoanza nimekua na kismati sana juzi nimekutana na bint wa Canada ananiambia yeye amekuja field bongo anaomba company yangu amevutiwa na jitu nikasema ni huu weusi au nini na mwili uliojengeka kimazoezi kwan tulikutana club ya mazoezi ;
nirudi nyuma ,maagizo yananitaka kwenda kila mkoa wa tz nihakikishe nimetekeleza sharti kisha nihamie mkoa mwingine na jinsi nitavyoendelea kuzaa ndivyo nitavyokua nafanikiwa nipo njia panda wazee hii ni nini je nifanye kweli na maelekezo yanaendelea kuja nikilala tu mpaka najiuliza nisilale?nisaidieni najua humu kuna watu wenye akili zaidi ya mchwa
karibuni wanandugu
 
Bangi Tamu sana....,ila kwa sasa wale wanao muenzi Bob male kwa moshi,hali yao ni tete wanasakwa kila kona tuwe makini wasije tafuta vichaka humuuu....
 
Endelea kuota mpaka mwisho halafu utajua ndoto yako nzuri ama mbaya
 
wewe hauna tofauti na yule mchungaji bapa maana ndoto zenu zinataka kuwiana aise
 
Ningekua wewe ningeifuata hiyo ndoto kama ingenionesha pia hao watoto wangekula nini na future yao ningeijengaje.
Kuna ndoto zingine ukiota ukishtuka unatakiwa tu useme "Ebwana ee hii nayo kali" kisha endelea na mambo yako ukiichukulia hatua unaweza kujikuta unahamishwa makazi kutokana na kugombea wanawake wa kuzalisha.

Kamuulize Faru John.
 
Hizo hesabu ndio ungekua unapiga kwenye kufuga kuku ungekua unauaga umaskini.... endelea kunywa kahawa
 
Mkuu potezea hiy ndot inakupoteza kbx nakuweza kukutoa katik msitakabali wa maixh yako ambay unayo potezea mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom