Ruhazwe JR
JF-Expert Member
- Jan 31, 2011
- 3,402
- 944
goddamage yaani nilijua ajari sijui wapi kumbe chit chat khaaaa.... miafrika mingine bwana khaaaa......
wakati ndio sasa kwanini mara zote unataka kutokea mgongoni kwa charminglady? It is disgusting, and when something is too much becames harmful. NOW be creative coz everytime you start thread it's charminglady all over though this is chit-chat zone
Kiongozi umeguswa sharubu eeh?wakati ndio sasa kwanini mara zote unataka kutokea mgongoni kwa charminglady? It is disgusting, and when something is too much becames harmful. NOW be creative coz everytime you start thread it's charminglady all over though this is chit-chat zone
Kiongozi umeguswa sharubu eeh?
Watu mko too protective jamani, mtu kutajwj tu tayari kesi!
Kama CHAMIngLady anakupenda kikweli, na kama uliwahi kumsindikiza hadi kwake bila kupata tafrani ya Polisi Jamii, basi mwachilie huru, na kama na yeye anakupenda basi hatakuchakachua, na atarudi kwako salama salmin.
hili ni jukwa la lugha?........
kwa kuwa sikumaanisha ajali na ndio maana nikaja chitchat ningemaanisha ajali ningeenda jukwaa husika,nakuuliza unatatizo na mimi?
hili ni jukwa la lugha?........
kwa kuwa sikumaanisha ajali na ndio maana nikaja chitchat ningemaanisha ajali ningeenda jukwaa husika,nakuuliza unatatizo na mimi?
Sina tatizo na wewe dogo langu la ukweli.
Unatoa mapovu ya nini? Niliona umekosea.
kiukweli leo hauko sawa,hata hivyo nilikuwa sijajua kama umefiwa,nadhani ndio sababu hauko sawa.vipi umeshafika msibani?vip taratibu za mazishi?
wakati ndio sasa kwanini mara zote unataka kutokea mgongoni kwa charminglady? It is disgusting, and when something is too much becames harmful. NOW be creative coz everytime you start thread it's charminglady all over though this is chit-chat zone
nimeona Tayari unanisogezea polisi Jamii ikabidi nitoe povu,sa unafikili ninge fanya nini kujinusulu
nimeona Tayari unanisogezea polisi Jamii ikabidi nitoe povu,sa unafikili ninge fanya nini kujinusulu
Aijipii angetoa taarifa kuwa ulipopigwa risasi shingon ulikuwa unamsindikiza dadako kutoka send off party.