Boran Jakutay
Senior Member
- Apr 8, 2023
- 110
- 255
1: Dereva kuyapita magari ya mbele bila TAHADHARI.
2: Dereva kuendesha gari akiwa amelewa pombe au dawa za kulevya.
3: Dereva kuendesha chombo kwa mwendokasi.
4: Dereva kuendesha chombo kikiwa na abiria au mzigo kuzidi uwezo wake.
5: Dereva mmoja kuendesha chombo kwa muda mrefu zaidi ya saa nane.
6: Kupanda gari bovu bila kutoa taarifa kwenye taasisi husika.
7: Abiria kushabikia au kuchochea mwendokasi na wengine kukaa kimya.
8: Dereva au Kondakta kutoa rushwa ili kukimbiza gari zaidi (mwendokasi)
NB: TOA TAARIFA PINDI UONAPO UVUNJIFU WA SHERIA UNAOWEZA KUHATARISHA MAISHA YAKO AU YA MWENZAKO.