Ajali za bodaboda kona ya Mazuu Mbezi, mwisho Tanroad, wekeni matuta pale

Ajali za bodaboda kona ya Mazuu Mbezi, mwisho Tanroad, wekeni matuta pale

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
1,026
Reaction score
2,106
Tanroad mbona mnatana tuwafanyie kazi zenu au hadi raia wapange mawe barabarani kuzuia magari ndio mtaelewa ? Ajali maeneo hayo na kama hayo yenye kona zimezidi.....fanyeni utaratibu mupunguzie speed vyombo vya moto.

Pia Polisi kagueni leseni , hawa vijana boda boda wengi hawana leseni kabisa na wakikugonga wanajaa kutaka kukudhuru na wao ndio wanavunja sheria.
 
Pia Polisi kagueni leseni , hawa vijana boda boda wengi hawana leseni kabisa na wakikugonga wanajaa kutaka kukudhuru na wao ndio wanavunja sheria.
Mkuu samahani, naomba utolee maelezo ulikieleza elezea kitaaluma sio km mtu yupo kwenye kijiwe cha bao au draft anakunywa kahawa hio Speed Hump ni nini? Mwingine ukimwambia hivyo haelewi si unajua sio bodaboda tu hata huko unapoelekeza malalamiko yako kumejaa masifuria pia ndio maana unaona yanatokea yanayotokea
 
Boda wengi wanakimbia kama wameiba, hakuna tahadhari wala nini. Akikugonga akifanikiwa kuamka basi anachomoka kama mshale...Tuta la viazi muhimu Sana.
 
Sheria haziwabani boda.

Wanachokisimamia polisi wenu ni boda wasipite njia ya mwendokasi, wakipita pale aloo cha moto wanakiona ila huko kwingine hakuwahusu.
 
Back
Top Bottom